Anayekupenda atakujali, atakuheshimu na kukusikiliza.
Anayekupenda hawezi kumaliza siku nzima bila kukujulia hali na hiyo ni kwasbb muda mwingine utakuwa akilini mwake.
Anayekupenda hapendi kuona unakosa furaha kwa namna yoyote ile.
Hapendi kuona upo matatizoni. Hata kama hana uwezo ya kukusaidia atakufariji.
Anayekupenda utamjua tuu wala haina ubabaishaji.