How Long, Not Long; Martin Luther Jr

Cathode Rays

JF-Expert Member
Joined
Nov 3, 2011
Posts
1,738
Reaction score
1,495
Wadau nimeona niwamegee vipande vya hotuba ya Martin Luther King Jr wakati huu tunapoutafuta UTU na UTAIFA wetu tena (A Call to Conscience) . Ni hotuba yake ya Tarehe 25 March 1965, Montgomery, Alabama iitwayo "Our God is Marching On" au maarufu zaidi kama "How Long, Not Long"

.

Unaweza ipata zaidi hapa Address at the Conclusion of the Selma to Montgomery March**

au Youtube How Long? Not Long! - YouTube
 
Mkuu nimevutiwa sana na huu uzi!!

Tutafakari neno Kuu! (A Call to Conscience)!

Nimependa tafsiri yako C Rays! ya Conscience kuwa ni Utu! Nguvu ya ufahamu huu unaoitwa utu...haipatikani kwa mnyama au chochote zaidi ya mwanadamu mwenyewe!

Naamini conscience inahitaji kutawala siasa zetu, uchumi wetu, uongozi wetu, familia zetu, jamii yetu na hatimaye Utaifa wetu!

Tatizo linalotokea pale Arusha (IMO) ... Si watu kukosa akili, si watu kutokwenda shule ... ni kukosa .. conscience!!

Tujiuulize conscience ya mtu mmoja , ya jamii na Taifa inajegwa je?
 


Ni kweli mkuu, mtu hupoteza UTU na THAMANI YA UTU WAKE pale anapopoteza kule kujitambua yeye ni nani.....

Mara zote huamini kwenye maisha kuwa mwanadamu ni vile anavyojiwaza na kujitambua na tumefungwa kwenye eneo hilo...Ukijiona kuwa sawa na mdudu asiekuwa na thamani basi utakuwa hivyo

Speech hii inanifanya mara nyingi ninapoisoma kujiona kuwa na deni la kila mara kuangalia upya juu ya mustakabali wa UTU wangu na kujifanyia self evaluation kuona kama nimefanya replacement ya UTU wangu na kitu chochote....

Some people are accepting cheap rewards in lieu of their dignity........THERE MUST BE A CALL FOR CONSCIOUSNESS ACROSS THE NATION
 
Not Long.. Hakuna Uongo/Uonevu utakaodumu milele..
Sii mbali sana
 
Some people are accepting cheap rewards in lieu of their dignity........THERE MUST BE A CALL FOR CONSCIOUSNESS ACROSS THE NATION

Nakubali na ninaamini kuwa there must be such a call across the nation ... Lakini ... Inasemekana HILO HALIWEZEKANE KWA NCHI ZA KIAFRIKA HUSUSAN TANZANIA!! ...

Mkuu kwa nini unafikiri itawezekana?
 
Very interesting, the guy was such a good speaker.
Do we have anymore people like him? Mandela? OR Mwalimu?
We are now doomed
 
Nakubali na ninaamini kuwa there must be such a call across the nation ... Lakini ... Inasemekana HILO HALIWEZEKANE KWA NCHI ZA KIAFRIKA HUSUSAN TANZANIA!! ...

Mkuu kwa nini unafikiri itawezekana?

Mkuu naomba kwa heshima zote nikuombe radhi kwa kuchelewa kujibu post hii...sikupita hii mitaa muda kidogo

But all in all kuna thread inayoendelea ya Utu iliyoanzishwa na EMT naamini ndani yake kuna hoja ambazo zinaweza kujaribu kujibu hili swali

Kwa wale ambao hawajaipitia hiyo thread nenda link hii
https://www.jamiiforums.com/jukwaa-la-lugha/192708-nini-hasa-maana-ya-utu-1.html
 
ni jambo jema kuona watu wanakomaa kutafuta haki na usawa kwa namna yeyote ile pale haki yao ya msingi yakufanya hivyo inapozuiliwa kwa nguvu kubwa ya dola kutumika kuwakandamiza watu hoa na kuamini kwamba kwa kufanya hivyo ndio namna moja yakuwakwamisha kisiasa lakini naamini kuwa wakati umefika kwa wasio sikika kusikilizwa hata km ni kwa kupitia maandamano
 

Mkuu nakubaliana na wewe kiasi,

Lakini Watanzania kwenli wana nguvu ya Mioyoni na Ujasiri wa kuendesha maandamano yakaleta tija? ... Kivipi?
 
Kiongozi wa kweli aliyejitolea kwa watu zaidi. An excellent speech
 
Very interesting, the guy was such a good speaker.
Do we have anymore people like him? Mandela? OR Mwalimu?
We are now doomed

Mkuu

Umitizama mbali ... Je unamlanganisha na kiogozi gani wa Tanzania ... KWA SASA!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…