MwanajamiiOne
Platinum Member
- Jul 24, 2008
- 10,470
- 6,580
Habari wanaJF
Nimekuwa nikijiuliza mara nyingi kina kaka huwa wanalalamika kuzungushwa na kina dada pale wanapoweataka kimapenzi masuala ya nipe muda nikufikirie, nitakujibu n.k. Hii inaonekana kuwa ni kero kwa wengi wao na wanahoji akupe muda wa kufanya nini wakati wewe kama msichana mtu mzima unakuwa tayari umeshaelewa kama unampenda au la, huko kupewa muda ni kuzinguana tu
Ila wapo wale ambao wakijibiwa NIMEKUBALI mara moja huwa wanadoubt kuwa huwenda hiki ni kimeo au mapepe kama wasemavyo watoto wa mjini.
Je ni muda gani/kiasi gani unafaa kabla mdada hajakubali ombi la mkaka?
Second, how long does it take for you guys kumwambia 'Dada nakupenda na kumaanisha hilo after seeing her? je nanyi huwa mnachunguzaga kwanza au ukumwona tu unamwapproach then kumchunguza itakuja baadaye mkiwa ndani ya urafiki?