How long should we take...

MwanajamiiOne

Platinum Member
Joined
Jul 24, 2008
Posts
10,470
Reaction score
6,580
Habari wanaJF

Nimekuwa nikijiuliza mara nyingi kina kaka huwa wanalalamika kuzungushwa na kina dada pale wanapoweataka kimapenzi masuala ya nipe muda nikufikirie, nitakujibu n.k. Hii inaonekana kuwa ni kero kwa wengi wao na wanahoji akupe muda wa kufanya nini wakati wewe kama msichana mtu mzima unakuwa tayari umeshaelewa kama unampenda au la, huko kupewa muda ni kuzinguana tu

Ila wapo wale ambao wakijibiwa NIMEKUBALI mara moja huwa wanadoubt kuwa huwenda hiki ni kimeo au mapepe kama wasemavyo watoto wa mjini.

Je ni muda gani/kiasi gani unafaa kabla mdada hajakubali ombi la mkaka?

Second, how long does it take for you guys kumwambia 'Dada nakupenda na kumaanisha hilo after seeing her? je nanyi huwa mnachunguzaga kwanza au ukumwona tu unamwapproach then kumchunguza itakuja baadaye mkiwa ndani ya urafiki?
 

if i had to wear ladies' shoes then i would have answered them boys IMMEDIATELY AFTER BEING APPROACHED
 
Dada MJ1 ,
Hii kitu ya kuzungushana kama ipo kwa dunia ya leo ya mmomonyoko wa maadili basi itakuwa ni kwa watu wachache sana.Zamani mababa zetu walikuwa ndio hawaruhusiwi kabisa kutongoza,wanamaliza wazee.
Siku hizi licha ya kuwa maharage ya mbeya-maji mara moja hata wanawake ndio wanawaendea wanaume kuwaelezea hisia za mapenzi,yani haya/aibu imetutoka kabisa kwa sababu pengine ya utandawazi.
Sikatai wapo mabinti wenye msimamo kama unaosema lakini ndio wanaitwa washamba na tena ni wachache kwa huku mjini labda vijijini wapo wengi.Na ukiona mwanamke anamzungusha mtu ujue hana mpango nae.
Na vilevile kitu kingine kinachosababisha wanawake tuwe walaini siku hizi ni ile dhana ya kusema Wanawake ni wengi kuliko Wanaume ,hivyo ukidengua wenzio watawahi.
 
Hii ishu haina muda maalum laikini inategemea wapenzi wameanza kujuana baada ya muda. Kwa si rahisi kutoa jibu la moja kwa moja labda wewe kaka umekutana na fulani mzuri kweli kweli na kwa sababu ndio kwanza mnaonana na hamjuani si rahisi kupata majibu ya moja kwa moja na matokeo yake dada atasema ngoja nifikirie au nitakupa jibu siku nyingine.

Mfano mwengine yawezekana mimi kaka nimempenda dada fulani namfahamu naye pia ananifahamu na tunajuana tabia zetu zikoje, nadhani kwa huyo tukikaa pamoja na kuongea hawezi kuchelewesha sana kutoa majibu.
 

MJ1 kwangu mimi akizidisha zaidi ya wiki eti anafikiria, mie huyooo nayeya. Zama hizi sio za kung'ata unyasi wakati wa kutongozana. Ni enzi za YES au NO, Kwishnei!
 


hivi mie labda natongozwaga kitofauti zaidi, hakuna hata moja hapo juu inanihusu, mie zangu zilikuwaga ile kama nimeona na mie nimekupenda then ki date kitanihusu kama nimeona namna gani vipi basi cna muda kuanzia mwanzo na hayo mambo ya kukaa na kupendana cku moja tu mmekaa kwenye ki date na kusema hapo hapo nimekubali nayo mhh, mie tukae tupige zoga hapo ndio nakuchambua kama nakupenda/tutaendana then najiachia, bila kukutathimini upo namna gani vipi ctaweza.....nadhani m2 ukitongozwa sio vzuri kusema hapo hapo "NIMEKUBALI"... mwingine katamani tu, kaa nae kidogo ata ujue mazungumzo yake yapoje wajamaa.
 

Naomba address yako darling. Naona umevaa viatu vinavyonitosha.
 
Mfano mwengine yawezekana mimi kaka nimempenda dada fulani namfahamu naye pia ananifahamu na tunajuana tabia zetu zikoje, nadhani kwa huyo tukikaa pamoja na kuongea hawezi kuchelewesha sana kutoa majibu.

Hapo umenena mkuu,kama kweli mmefahamiana kwa muda mrefu na umeshapima umeona kuwa huyu tutawezana hakuna sababu ya kuchelewesha majibu.
 
if i had to wear ladies' shoes then i would have answered them boys IMMEDIATELY AFTER BEING APPROACHED

Hahahaahahaaa watakucheka wakuite Maharage ya Mbeya si umeshayasikia au hii huwa ina maana tofauti?
 

Ni kweli usemayo inategemea na ukaribu wa watu kabla ya kutamkiana ila kuna wale ambao wanafata taratibu hizi kuwa wameona ila hawana uhakika na tabia za watu- how do they go about it

Au kuiweka vema kwa mtu wa aina hii kama ni mwanaume inamchukua muda gani kumtamkia mdada -say anakaa naye mtaa mmoja au huwa anakutana naye mziki? na mdada huyo anatakiwa achukue muda gani au ndo kisiku hizi hizi yaani wanaanza na kidata kwa kufahamiana zaidi na je baada ya vidate vingapi ndo achomekee ?
 
MJ1 kwangu mimi akizidisha zaidi ya wiki eti anafikiria, mie huyooo nayeya. Zama hizi sio za kung'ata unyasi wakati wa kutongozana. Ni enzi za YES au NO, Kwishnei!

Ah Chris mwenzangu we hujui kubembeleza eh?
 

Nimekupata mama ila how many vi-dates vitakupa taswira halisi ya mtu huyo? Yaani mtakuwa mnatoka vidate hadi au ndo after kidate yanaanza masuala ya u-plutonic friendship kwanza au kipi kinatangulia?
 
Nimekupata mama ila how many vi-dates vitakupa taswira halisi ya mtu huyo? Yaani mtakuwa mnatoka vidate hadi au ndo after kidate yanaanza masuala ya u-plutonic friendship kwanza au kipi kinatangulia?

atleast vi 3-4......
 
Ah Chris mwenzangu we hujui kubembeleza eh?

Ndo maana nakwambia wiki moja inanitosha. Kwa kubembeleza hapa umefika. Ndio maana nawashangaa watu eti miezi mitatu wanabembeleeeeza tu! Darling Mj1, ukiingia anga zangu siku tatu mwenyewe utanionea huruma mtoto wa mwanamke mwenzako. Ikipita wiki bado umekomaa, mi huyoooo nasepa kwa kuwa hakika sitaweza kufanikiwa tena.

Jibu ni kuwa najua sana kubembeleza.
 
atleast vi 3-4......

Thanks Nyama yao. Kwa mtindo huo kwangu mtoko mmoja tu kitakuwa kimeshaeleweka. Kubembeleza ndio fani yangu. Mpaka saa nyingine natoa tuchozi kiaina. Mwenyewe utanionea huruma bila kupenda.
 
Hahahaahahaaa watakucheka wakuite Maharage ya Mbeya si umeshayasikia au hii huwa ina maana tofauti?

Nini maharage ya mbeya ndugu yangu,kuna muhogo wa pemba huo rafiki yangu.Huo ukiununua sokoni ukauweka kwapani,ukifika nyumbani hauna haja ya kuwekwa jikoni tena mkuu,huo ni kutoa maganda na kula,ushawiva maana ake.Kama unabisha nenda bagamoyo kajionee.Huko ukiaproach,acha kukubaliwa,unamega na kumega within no time,yaani utafikiri umeenda supa market.
 

Mkuu umenipandisha munkari. Next weekend natembelea Bagamoyo.
 
Kumbembeleza miezi mitatu au zaidi! Kwangu nitambembeleza mara ya kwanza halafu siku nyingine mara ya pili na baadaye mara ya tatu kama bado haelewi sina haja ya kuendelea kumbembeleza ila baada ya hiyo ya tatu nitamwachia yeye mwenyewe acheze bahati nasibu ya kunipata au kunikosa.
 
Thanks Nyama yao. Kwa mtindo huo kwangu mtoko mmoja tu kitakuwa kimeshaeleweka. Kubembeleza ndio fani yangu. Mpaka saa nyingine natoa tuchozi kiaina. Mwenyewe utanionea huruma bila kupenda.


ahh mie cku ya 1 sihitaji kubembelezwa wala stori zako za nilikupenda sana sema tu cjui nini nanini, czitaki! 2kae 2pige tu stori wee, mbona kuna mengi ya kuongelea, ndio hapo nitakuona nunda au tunaendana.....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…