MwanajamiiOne
Platinum Member
- Jul 24, 2008
- 10,470
- 6,580
Wapendwa
Eti ni muda gani unafaa kupita kabla wapenzi wapya hawajaanza kukutana kimwili? Yaani ni couple mpya inatakiwa upite muda gani kabla kaka hajaomba game au dada hajakubali game?
Nauliza tu!!
makubaliano tu!Wapendwa

I thought you were just thinking aloud, kumbe unauliza tu! 🙂
Wapendwa
Eti ni muda gani unafaa kupita kabla wapenzi wapya hawajaanza kukutana kimwili? Yaani ni couple mpya inatakiwa upite muda gani kabla kaka hajaomba game au dada hajakubali game?
Nauliza tu!!
MAsaki leo hujaamkia nyumbani wewe I doubt lol
Haya bana..... nawaza kwa nguvu
Inategemea na ntu na ntu pamoja na mazingira.
makubaliano tu!
kanuni ya maadili inasema NO SEX B4 MARRIAGE!...well,nilitegemea ungehoji UHALISIA WA KANUNI HII YA MAADILI KWENYE KIZAZI HICHI CHA UTANDAWAZI,PICHA ZA NGONO,KUDUMISHA MILA,n.k n.k
NAOMBA NIPINGANE NA WEWE KWENYE HILI!sheria ziko wazi,na hata vitabu vya dini vimeweka wazi......!NO SEX BEFORE MARRIAGE!wazee wetu waliishi hivyo.Inategemea na ntu na ntu pamoja na mazingira.
mh! Am I smelling something here oder was?
MAsaki leo hujaamkia nyumbani wewe I doubt lol
Haya bana..... nawaza kwa nguvu
Umesahau sababu nyingine....... leo niko kwenye siku zangu..Mi tukisha kubaliana huwa nataka siku hiyo hiyo nianze kumega.
Tatizo la mabinti huwa wanajivunga sana utasikia ooh dia leo sikujiandaa tufanye week end ijayo sasa sijui anajiandaa nn wkt kitu kipo pale pale na matayarisho tu huwa nachoka sana mm nimekupenda na wewe umekubali sasa kwa nn tuanze kuzungushana kwenye swala la kumega?
Binafsi napenda nimege siku hiyo hiyo mambo mengine yaendelee.
inategemea mdomo wa kaka................. wengine hta 2 hours ni nyingi sana!!!!!!!!!! na kwa wengine hata 2 years ni muda mfupi sana!!!!!!!!!!!
Inategemea na ntu na ntu pamoja na mazingira.
geoff akikutokea SAWA!akikuomba game KATAA!SAY NOOOOOOOOO!no sex before marriage,PERIOD!Hapo kwenye makubaliano sawa but kanuni nope kwa sababu asilimia kubwa ni kuwa huwa inavunjwa sasa ndoi najiuliza Geoff kama ndo kanitokea nami nimemkubalia naanza kuwa na shaka huwenda nikikutana naye kesho ataomba game (nami nimemkubalia leo??) au hakuna muda maaliumu
Yaani wewe ndo mana wanakukimbiaga lol asa utake siku hiyo hiyo nitakuwa na uhakika gani kuwa hutamega na kukimbia?Mi tukisha kubaliana huwa nataka siku hiyo hiyo nianze kumega.
Tatizo la mabinti huwa wanajivunga sana utasikia ooh dia leo sikujiandaa tufanye week end ijayo sasa sijui anajiandaa nn wkt kitu kipo pale pale na matayarisho tu huwa nachoka sana mm nimekupenda na wewe umekubali sasa kwa nn tuanze kuzungushana kwenye swala la kumega?
Binafsi napenda nimege siku hiyo hiyo mambo mengine yaendelee.
Umesahau sababu nyingine....... leo niko kwenye siku zangu..