How long to wait?...

kuna mda nilitaka kweli divai sana maana nilikuwa na kiu,na mavazi yenyewemm we acha tu boxer na vest
Na pepo lilivokuwa na nguvu wala hukuanguka! Au ulikuwa huumwi vizuri?
 
kuna mda nilitaka kweli divai sana maana nilikuwa na kiu,na mavazi yenyewe mm we acha tu boxer na vest
atiπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
utasababisha kaizer asipokee masakrament jumapili
 
Hommie kakague miedu ze nidiful kwa kujali maslahi, ila hapa kuna watu watajifanya hawana macho... wanasahau kuwa maisha sio MAGUMU ila kazi ndo NGUMU na mwanaume lazima ugangamale!
πŸ˜€πŸ˜€

Hehehe! Dah hii misemo yako bana! Imenikumbusha enzi nikiwa Ujamaa sekandari skuli fom foo B. Wakati huo ukiwa fom foo unakuwa kama Magufuli! Kwenye mila ndo usiseme!
 
ipo gesti inaitwa CHELSEA-GUEST HOUSE
Pearl unaonaje tukienda kufanya tathmini ya maombi yetu hapa!

kuna mda nilitaka kweli divai sana maana nilikuwa na kiu,na mavazi yenyewemm we acha tu boxer na vest
Dah! Ugua tena tafadhali!

atiπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
utasababisha kaizer asipokee masakrament jumapili
Hahaha! Haijalishi bana! Fita ni fita Mura!
 
Yeah! Mimi sasa nimeamua kuingia kwenye google kabisa ili nitafute vizuri! πŸ™‚
hahaaaaa
ni nini shida, viwango au masharti magumu?? maana naona zinauliziwa za kitunda sasa
 
ok twende basi,naanza kuumwa now naskia kutapika
Pearl unaonaje tukienda kufanya tathmini ya maombi yetu hapa!

Dah! Ugua tena tafadhali!

Hahaha! Haijalishi bana! Fita ni fita Mura!
 
hahaaaaa
ni nini shida, viwango au masharti magumu?? maana naona zinauliziwa za kitunda sasa

Hahahaha duh Kitunda tena? Nilikuwa huko two weeks ago, kwa hiyo this weekend ni Mkuranga!

BTW Kaizer mtungi wetu wa maji ya kunywa njiani huo hapo kwenye picha!
 
Attachments

hahaaa for the same mission?? ulikuwa guest gani??

ona sasa unamtia kiu B wangu na hizo chupa za sisiem!!!!
 
Nilikwenda kutafuta kiwanja cha kujenga shule ya bweni ya chekechea na msingi.....!! Kama kulikuwa na mambo ya gesti basi hilo lilikuwa ni yatokanayo na haikuwa agenda kuu!

Hata Mkuranga ni hivyo hivyo! Gesti ni yatokanayo!
 
hahaaa leo unachomoka duh!!!

lakini umesema hutalala mwenyewe vinginevyo bora ubaki Mzalendo ukila mishikaki.....
 
Ni kwa sababu tu ya hii hali ya hewa ya leo!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…