MwanajamiiOne
Platinum Member
- Jul 24, 2008
- 10,470
- 6,580
- Thread starter
-
- #21
Nimekusoma kaka aksante na MUNGU akuongezee hekima na busara ili MSHIKI akufaidi vizurigeoff akikutokea SAWA!akikuomba game KATAA!SAY NOOOOOOOOO!no sex before marriage,PERIOD!
ukikubali,sasa huo ni mjadala mwingine.....!yaani tunaanza kuijadili dhambi
waza kwa sauti kwa nguvu utachoka mrembo!!!
hamna kanuni hapo kwa kweli
NAOMBA NIPINGANE NA WEWE KWENYE HILI!sheria ziko wazi,na hata vitabu vya dini vimeweka wazi......!NO SEX BEFORE MARRIAGE!wazee wetu waliishi hivyo.
ni hichi kizazi cha nyoka kilichohalalisha dhambi
geoff akikutokea SAWA!akikuomba game KATAA!SAY NOOOOOOOOO!no sex before marriage,PERIOD!
ukikubali,sasa huo ni mjadala mwingine.....!yaani tunaanza kuijadili dhambi
Yaani wewe ndo mana wanakukimbiaga lol asa utake siku hiyo hiyo nitakuwa na uhakika gani kuwa hutamega na kukimbia?
haya sasa😀😀😀Yaani wewe ndo mana tunakukimbiaga lol asa utake siku hiyo hiyo nitakuwa na uhakika gani kuwa hutamega na kukimbia?
🙄😛😎You with your evil mind. Nothing of sort darling, you know me now!!
Just asking
Mi tukisha kubaliana huwa nataka siku hiyo hiyo nianze kumega.
Tatizo la mabinti huwa wanajivunga sana utasikia ooh dia leo sikujiandaa tufanye week end ijayo sasa sijui anajiandaa nn wkt kitu kipo pale pale na matayarisho tu huwa nachoka sana mm nimekupenda na wewe umekubali sasa kwa nn tuanze kuzungushana kwenye swala la kumega?
Binafsi napenda nimege siku hiyo hiyo mambo mengine yaendelee.
hapo nimekuelewa sasa!ninakiri pia nimeifanya hiyo dhambi INGAWA INANIUMIZA SANA NIKIIFIKIRIA!ngoja watu waijadili mimi nitawaind-upyou are very right Goeff!!!
dini inasisitiza 'chaste life before and after marriage"
lakini in real life hiyo ni ngumu sana, sasa such being a case kuna muda mtu anaweza kusema now I think its time for me to ngonolize???
All in all ndo hiyo dhambi tunayoijadili hapa
haya sasa😀😀😀
Umetumia Kiswahili fasaha sana hapo binamu. Angekuwa mwingine angechanganya Swanglishi....angesema hakuna formula!! 🙂
Tukirudi kwenye mada, ni kweli kabisa hakuna kanuni. Kuna zile za siku kwanza kutoka ''out'' pamoja siku hiyo hiyo mnalambana!
Mj1 kama hiyo ndo sababu kuna watu wapo radhi hata mwaka then akimega tuu huyoo!! yaani kwa kweli no formula kwa mtu yoyote yule ambae yupo radhi kumegwa kabla ya ndoa!!Yaani wewe ndo mana wanakukimbiaga lol asa utake siku hiyo hiyo nitakuwa na uhakika gani kuwa hutamega na kukimbia?
All in all ndo hiyo dhambi tunayoijadili hapa
Hapo kwenye red hapo, honestly that statement TURNS ME OFF COMPLETELY!!! Naweza nisimtafute tena! Hiyo ni dalili ya mwanamke ambaye hajiamini katika suala zima la usafi wa mwili wake na hata nguo zake za ndani! Excuse my French!! 🙂
hapo nimekuelewa sasa!ninakiri pia nimeifanya hiyo dhambi INGAWA INANIUMIZA SANA NIKIIFIKIRIA!ngoja watu waijadili mimi nitawaind-up
Jamani kwa dunia ya sasa Mungu aturehemu.Mimi binafsi nina evidence.Wakaka zaidi ya 20 walionijia na gia ya KUOA.nilipowaambia mie nimeokoka si-DO kabla ya ndoa nakuhakikishieni wote walinikimbia.hapo nimekuelewa sasa!ninakiri pia nimeifanya hiyo dhambi INGAWA INANIUMIZA SANA NIKIIFIKIRIA!ngoja watu waijadili mimi nitawaind-up
niliwahi kukushauri ununue KATIBA YA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA UONE INAVYOKATAZA UZINZI,UASHERATI NA ZINAA!sasa kama hutaki kununua katiba njoo chawite nikupe kopi yanguNakukubalia kupingana na mimi.
Najua unatania tu haupo siriaz kabisa kwenye hili.
Kuna watu kibao hawana dini au ni wakristo/waislamu wa KICHINA kwa hiyo kwao sio ishu kwenda tofauti na vitabu vya dini.
na hii sheria unayosema ni sheria ya wapi? ipo kwenye kifungu namba ngapi? naomba evidence tafadhari.
Kimey kwa huyu anayengoja hivi haitauma sana kwa sababu ameisotea japo kidogo sasa wewe leo umesema YES kesho umechojoa jamani?? Hata akikuacha utaanza kujiwazisha hata visivyomo !!Mj1 kama hiyo ndo sababu kuna watu wapo radhi hata mwaka then akimega tuu huyoo!! yaani kwa kweli no formula kwa mtu yoyote yule ambae yupo radhi kumegwa kabla ya ndoa!!
Wapendwa
Eti ni muda gani unafaa kupita kabla wapenzi wapya hawajaanza kukutana kimwili? Yaani ni couple mpya inatakiwa upite muda gani kabla kaka hajaomba game au dada hajakubali game?
Nauliza tu!!
Hivi kwa nn dhambi ya kuzini mnaiona kubwa sana kuliko zingine 9 maana amri za Mungu zipo 10 hata ukisema uongo ni dhambi sasa kwa nn mtu aliye zini na aliye sema uongo anaangaliwa kwa jicho baya aliye zini?