MwanajamiiOne
Platinum Member
- Jul 24, 2008
- 10,470
- 6,580
- Thread starter
-
- #81
Yaani kama nakuona unavyomshangaa mdada anayelament kuwa umemchezea as if wakati mnado yeye jhakuwa akicheza rafu lol yale yale ya nilipe bikra yangu nawe akulipo blows zako ahahahaHiyo sentensi kanichezea kisha kaniacha, kaniharibia maisha yangu huwa inanichekesha sana! 🙂
why not?? si tumekatazwa kumegana mpaka tufunge ndoa/tuhalalishwe vinginevyo tunatenda dhambi??"Sex can lead to nasty things like herpes, gonorrhea, and something called relationship. by Ali G
Hii inahusika sana! - mnaweza kujiita GF/BF kama your below hazijakusika?
My dia inategemea hata cku ya kwanza tu kama mazingira yanaruhusu(wengi watadhani kicheche)but it doesnt make any difference hata kama mkikaa miaka 10 at the end of the dei mta do 2,pple hawataki kusema ukweli but weeeengi wamefanya in less than a month time of friendship,yani watu wanakutana sehem wanakubaliana in 30mins maongezi yao utasema walikutana mwaka jana,kumbe wizi mtupu.tanzania bila ukimwi inawezekana
Yaani kama nakuona unavyomshangaa mdada anayelament kuwa umemchezea as if wakati mnado yeye jhakuwa akicheza rafu lol yale yale ya nilipe bikra yangu nawe akulipo blows zako ahahaha
Pear hapa umekuwa honest nimekupenda
mimi wewe shemeji yangu katika siku ulizonifurahisha kwa mapoint ni leo...kila ulichosema ni point nakubaliana na wewe kabisa....uko right kupitiliza..big up.....nini kuzungushana bana
naona hatujaelewana bado......anyway tuendelee tutyasettle huko mbele kwa mbele
Si umesikia Masaki na Fidel wakilalamika kuwa huwa wanayeyushwa so nina amini kuwa sababu za sijajiandaa, niko juani n.k ni kwa sababu either wanaona bado ni mapema sana kukupa au wanahisi utakimbia lolh
Yaani kama nakuona unavyomshangaa mdada anayelament kuwa umemchezea as if wakati mnado yeye jhakuwa akicheza rafu lol yale yale ya nilipe bikra yangu nawe akulipo blows zako ahahaha
Pear hapa umekuwa honest nimekupenda
ha ha ha ivi na nyie hua mnatuitaje?Maskini Jeuri hilo la mwisho nalo neno !! Lakini sasa neno Maharagwe ya Mbeya, maji mara moja huwa mnamaanisha nini kaka yangu? Mie naliogopa kama nini vile
Hii inafaa kwenye hii thread
[/COLOR][/B]
hapa kuna tamaa na mapenziBado sijapata mwelekeo!
a. ni woga tu ndio husababisha madem msikubali kumegwa siku ya kwanza?
b. ni tamaa iliyowapanda kichwani ndio husabisha kumegana bila kuajli athari zake mbeleni?
c. ukimnyima mwenzio siku ya kwanza na siku zinazofuata ukampa mfululizo ndio umeonyesha control kwenye hiyo relationship?
Maskini Jeuri hilo la mwisho nalo neno !! Lakini sasa neno Maharagwe ya Mbeya, maji mara moja huwa mnamaanisha nini kaka yangu? Mie naliogopa kama nini vile
Wapendwa
Eti ni muda gani unafaa kupita kabla wapenzi wapya hawajaanza kukutana kimwili? Yaani ni couple mpya inatakiwa upite muda gani kabla kaka hajaomba game au dada hajakubali game?
Nauliza tu!!