How many O'Level Seats do you have?: Ina maana gani?

Superleta

JF-Expert Member
Joined
Aug 2, 2019
Posts
575
Reaction score
655
Hili swali nililikuta mahali nikashindwa kujibu
Hapo maana yake ninini?
 
Hili swali nililikuta mahali nikashindwa kujibu
Hapo maana yake ninini?
Nacte sio? Kunà wale wanaorudia mitiahani ya form 4 sasa wengine wanafanya zaid ya mara moja kutafuta credit
 
Yaani muuliza swali anakuwa kishatambua Wewe ni kilaza na ulifeli kidato cha nne, anachofanya ni kujiridhisha ni kiwango cha ukilaza wako ili ajue ulirudia Mara ngapi kupata credit
 
Dah elimu ya bongo kuna pahala tunakwama huyu chuo akipata sup wala asilaumiwe
 
Siku nikipata mamlaka katika hii nchi nitaufumua kabisa mfumo wetu wa elimu na kuusuka upya.

Mfumo wa kukariri na kutapika vitu katika mitihani sio mzuri hata kidogo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…