How many sex partners have you had?

Kiukweli kwa sisi wanaume hii habari tutasema ulongo mana sisi tunapiga sana duh..ila wadada sijui kama nao wako hivi..kama ni hivi basi tena dunia imeoza
 
Wabongo hapa mwanamme mmoja anaweza kujaza Dar Express 2, Coster moja na Hiace moja kwa idadi ya wanawake aliotembea nao! Khaaaa! Kuna watu wanatisha aisee!!

Kote. Hata huko Ulaya
 
Mie 16, nahisi ntakuwa Outlier
 
....umekosea kuuliza hili swali....
ungeuliza wataje in alphabetical order!
 
Nadhani sample iliyotumika kwenye utafiti huu ni kutoka kanisa la walokole. Haiwakilishi hali halisi huku nje duniani.
 
Nilikuwa wa kwanza kuiona hii thread, nikaanza kuhesabu hadi sasa bado sijamaliza na nimechoka mbaya!! Ngoja niache tu!!
 
wavulana nategemea zaidi ya hiyo idadi, jisifuni kwa ujinga wenu

wadada wote kimya, mnaogopa kuitwa malaya
 
kusema kweli mi sijawahi fanya mambo haya,nasubiri Bebii aachike niwe naye.
 
Km ni avarage,si mbaya saaana coz kn sisi wa outlayers ambao by da age of 15 tulikuwa tayari wamefika 25! nadhani ndio lile neno la zile data zilizo nje ya ya range ya nyingine kabisa kwny statistics! kn itu vingi vinachangia haya jamani,labda hiyo research ingespecify kwenye mazingira flan flan hivi ya umri huo!
 

Mmoja tu na ndio mume wangu..
 
Ukimchunguza sana bata, kaka hauta mla! Hebu muulize mwenzi wako alikuwa na wangapi kabla yako uone kama utampenda! Mambo mengine jamani tuyaache tu!
 
Nimefikisha zaidi ya 50.
Idadi inaendelea.
OTIS.
 
wanaume wa bongo mnatisha aisee khaaaaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…