How many sex partners have you had?

JAMANI WANA JF OGOPENI NGOMA MAANA mademu wengine unakuta wana VVU
 
Nakuomba uwe wa 51.
OTIS.
hv bado nafasi zipo? ndo maana zile dawa za kuongeza nguvu zimekuwa dili maana sidhani kama kuna kitu kimebaki uko loh?mnaanza tena kupalilia
 
hv bado nafasi zipo? ndo maana zile dawa za kuongeza nguvu zimekuwa dili maana sidhani kama kuna kitu kimebaki uko loh?mnaanza tena kupalilia

Njoo ujionee.
Usijenogewa tu.
OTIS.
 
Njoo ujionee.
Usijenogewa tu.
OTIS.
mimi vitu used sipendi yaani hapo ilipo nadhani ni screper tu loh ............................??????????????????????hapana jamani
 
mimi vitu used sipendi yaani hapo ilipo nadhani ni screper tu loh ............................??????????????????????hapana jamani

Panga hili limeongezewa makali kwa matumizi.
Mvinyo uliozeeka ndio mtamu.
Hebu nipe kidunchu.
OTIS.
 
I am 38 yrs.
Wife m1,

Catergory

1. Wanafunzi wa msingi
2. Majirani
3. Wanafuzi wa sekondari
4. Majirani
5. Wanafunzi - High school
6. Jeshini
7. College
8. Makazini kabla sijao
9. Majirani baada ya kuoa
10. Niliotembea nao nikisafiri kikazi
11. Ma bar maid
12. Ndugu wa mbali wa mke
13. Marafiki wa mke
14. Mademu wa washikaji
15. Zile za kuotea ukiwa disco
16. Zile za kuotea ukiwa misibani, maharusini na hafla mbali mbali
17. Unaokutana nao kwenye basi, ndege na vyombo vingine vya usafiri

Weka watano watano kila catergory
 
Jamani kiuhalisia sisi vijana wa siku hizi hakya nani tena tunaweza tukawa tumejaza YUTONG kama tutaamua kuwatafuta wapenzi wetu woooote wa tangu enzi za mwalimu...tatizo tunapenda kuonjaonja kila mahaliiii!!!! wengi humu wanaongea lakini sio wakweli..
 
Nilikuwa wa kwanza kuiona hii thread, nikaanza kuhesabu hadi sasa bado sijamaliza na nimechoka mbaya!! Ngoja niache tu!!

Tuambie hapo hapo ulipofikia wengine utamalizia kesho
 

We kiboko, yaani 17 categories! Lakini thank God hujafikisha 100 una 86
 
wavulana nategemea zaidi ya hiyo idadi, jisifuni kwa ujinga wenu

wadada wote kimya, mnaogopa kuitwa malaya

lazima wakae kimya wanaogopa wtaonekana malaya mtaani mwanaume akiwa na wanawake wengi anitwa kidume mwanamke akibadilisha wanaume anaitwa malaya
 
sikumbuki idadi kamili lakini ni kama 13 hivi..... Bado wale wa One night stand

Pole sana unafikiri ni sifa!Huo uchafu unaofanya unajidhalilisha mwenyewe kwa kushusha hadhi ya utu wako.
 
naona wengine wanatoa idadi ya mara ambazo wamewahi ku do lol
kisha wengine wanahesabu hata zile za "mchezo wa kujificha" ;-) ;-) ;-)
 
wanaume wa bongo mnatisha aisee khaaaaa
Wengi hapa maneno tu!!! sana sana wengi wao wanaishia kutamani tu maana most ladies nao wameshakuwa wajanja/akili zimeshtuka.....
 
mi sisemi,wife yumo humu humu jf akiona itakuwa ugomvi leo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…