How PAP acquired IPTL for almost nothing and looted US$124m from the BoT

Awamu ya sita inaongozwa na kiongozi aliyeshiriki kuondoa huu uchafu wa miaka ya nyuma. Natumaini atakuwa na nguvu ya kupambana ili usizaliwe uchafu mwingine utakaokuja kuitambulisha awamu yake.

Ipo miradi mingi mikubwa na kule Mwanza nilimsikia anahoji juu ya matumizi ya bilioni 44 kujenga jengo la BOT, asiyumbe na asimame imara.
 
Usije shangaa akagombea ubunge kupitia ccm 2025 , mwangalie Mwanyika

Aiseee!!! Akigombea huyu jamaa Sisiemu, mimi nakiri hapa, ukweli si uongo, natoka CUF mapemaa nawarudishia CHADEMA kadi yao ya chama kisha nahamia NCCR-Mageuzi then asubuhi hiyo nachukua kadi mpya ya Eesiitii Wazalendo. Au nasema uongo ndugu zangu!???
 
Katoka huyu tapeli?na muenzie Ruge vipi? Hii nchi bana hao ni kupiga mvua za kutosha
 
Asiishie kuhoji ili kutufurahisha; watu wawajibike, kama wanagoma kuwajibika kwa hiari yao, basi wawajibishwe, watake wasitake.
 
washaanza kutengeneza kwamba ni Mhehe wa Iringa , angalia wagombea ubunge wa ccm 2020 , utakuja kunishukuru
 
washaanza kutengeneza kwamba ni Mhehe wa Iringa , angalia wagombea ubunge wa ccm 2020 , utakuja kunishukuru
Sishangai sana, ikizingatiwa kwamba the alleged mchezaji mkuu mmojawapo wa IPTL & Tegeta Escrow, ALISAFISHWA 2015 na kuwa the bestman ili kupeperusha bendera ya Urais. Which means angekuwa rais, pengine huyu jamaa leo hii angekwaa cheo cha PM. Who knows!???
 
Bila shaka ccm huijui , Mwanyika alikuwa na kesi kama hii na akahukumiwa kama huyu , leo ni mbunge wa Njombe , Ighondu mbunge Singida , Abdallah Zombe aligombea kura za maoni Songea
 
Aliinusuru kivipi na hakuna mtendaji hata mmoja serikalini alishtakiwa? Kwani alibomoa BOT na kuchota pesa? Si wao wenyewe walimlipa? Huyo mwendazake si ndiye aliwalinda kwa kusema hatafukua makaburi?
 
Aliinusuru kivipi na hakuna mtendaji hata mmoja serikalini alishtakiwa? Kwani alibomoa BOT na kuchota pesa? Si wao wenyewe walimlipa? Huyo mwendazake si ndiye aliwalinda kwa kusema hatafukua makaburi?
MWIZI halisi wa hizi scam zote anajulikana kama alivyokiri mkapa kuwa ni chama! zaidi ya alicho fanya nini kingine angefanya?
 
Kutoka maktaba yetu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…