Believe me hata mie sikuwa na time now ni baada ya kuanza kupitia blog zao nikagundua wana stereotype dhidi ya Tanzania. Hawa jamaa ukikutana nao cha kwanza huwa kujaribu kujikweza!
Tofauti ya ustaarabu wa Watanzania kwa Wakenya inajidhihirisha kwenye hii video. Kwenye comment hakuna hata Mtanzania mmoja aliyeshiriki kuwabeza Wakenya kwa usafiri wao mbovu. Hii video ni ya 2017, kipindi hicho BRT ilikuwa mpya kabisa ila cha kushangaza hakuna hata comment mmoja ya Mtanzania aliyejimwambafai kuhusu Dar rapid transit.
kwani kuna kitu gani cha maana huko Tz zaidi ya Kenya?Believe me hata mie sikuwa na time now ni baada ya kuanza kupitia blog zao nikagundua wana stereotype dhidi ya Tanzania. Hawa jamaa ukikutana nao cha kwanza huwa kujaribu kujikweza!
kwenye video yoyote inayosifia Dar es salaam au Tanzania, utawaona jamaa wakizengea kama fisi mbele ya mlo wa simba. Tena baadhi ya youtuber wameanza kutengeneza video nyingi za kuisifia Tanzania kama chambo, wakijua Wakenya watakuja kupinga na hivyo kuzidi kuongeza views..Believe me hata mie sikuwa na time now ni baada ya kuanza kupitia blog zao nikagundua wana stereotype dhidi ya Tanzania. Hawa jamaa ukikutana nao cha kwanza huwa kujaribu kujikweza!
Rejects at a cost of brand new!Cant wait for the DMUs to be launched, halafu itakuwa supplemented by a BRT system kama yenu na pia matatu zetu.
Already wanatengeneza bus parks for the matatus outside cbd. Only the BRT buses will be allowed jijiniš„
Halafu kumbe hawana lolote....Hawa jamaa ukikutana nao cha kwanza huwa kujaribu kujikweza!
Sawa ccm flowe boy, niambie how much a new dmu unit costs, tupige comparison?Rejects at a cost of brand new!