How Resource Rich is Africa?

How Resource Rich is Africa?

Raia Fulani

JF-Expert Member
Joined
Mar 12, 2009
Posts
11,478
Reaction score
3,659
Kama ulidhani Afrika ni kinara wa maliasili na rasilimali basi umekosea. Makala hii toka allafrica.com, japo ni ndefu sana itakupa mwangaza wa kutosha kujua ukweli. Na kwa mtazamo wangu ni kwamba makampuni ya nje yanavamia rasilimali za Afrika kwa kuwa hatujui namna ya kuingia mikataba. Pia wanalinda rasilimali zao kwa vizazi vyao vijavyo. Si sawa kwa Afrika kufanya hivyo pia?
 

Attachments

Back
Top Bottom