How sell anything within 3dayz

How sell anything within 3dayz

Nzuri sana ila swali sasa, hizo namba na emails ni za watanzania ambao wewe unajuana nao aje??
 
Namba ni nyingi naendelea kujitambulisha kwao taratibu Kwa kuwatumia sms mara kwa mara. na ninawathibitishia kuwatangazia huduma na bidhaa bora na zenye gharama nafuu kabisa mf wa bidhaa ambazo nimeshaziuza kwa majaribio tembelea hapa www.facebook.com/cityclickerstz hivyo nawajengea imani na matangazo yanayowafikia kupitia mim
 
Mawazo mazuri ila inaonekana kama unweza kuwa edwrd snowden vile? au hacker kama bwana asange wa weak leaks.
 
Here are really nice and most informative articles written by you. I have read your post and found it very helpful. I want to say thanks to you for sharing this with us. Wish you all the best.
 
Wazo zuri sana na umefunguka ipasavyo,nikweli hii huduma wa Nigeria wapo advanced sana.Natatizo kubwa la hapa kwetu emails nyingi zinakuja kama Junk mails.
Sasa mtu hawezi kusoma baadala yake ana delete zote na ujumbe kuwa haujafika.

Sasa wewe zako zipoje.Maana nina experience ya haya majunk mails kwa watu wanao serve TZ.

Then weka email yako
 
Good thinking ningependa kufanya joint venture nawewe mtoa mada ili tuanzishe kitu kama hiki in another African country where uhakika kitu kama hiki hakuna niPM

Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
 
Thank you Sir
 
Kwa majaribio natumia Home Nimejipanga vizuri Emails zote zinaingia inBox na sio Junk(spam)
 
Good thinking ningependa kufanya joint venture nawewe mtoa mada ili tuanzishe kitu kama hiki in another African country where uhakika kitu kama hiki hakuna niPM

Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
Itakuwa poa sana kaka, Mimi nipotayari kabisa, I know how to get all peoples numberz and some of Emails, system ipo na hii biashara inalipa.
Tuwasiliane tu kujua tutafanyaje
 
me im intresting in buying the system i can be my own boss, so waweza niuzia?????????????????????? kama yes , shilling ngapi?
ni pm for more majadiliano
 
Back
Top Bottom