Namba ni nyingi naendelea kujitambulisha kwao taratibu Kwa kuwatumia sms mara kwa mara. na ninawathibitishia kuwatangazia huduma na bidhaa bora na zenye gharama nafuu kabisa mf wa bidhaa ambazo nimeshaziuza kwa majaribio tembelea hapa www.facebook.com/cityclickerstz hivyo nawajengea imani na matangazo yanayowafikia kupitia mimNzuri sana ila swali sasa, hizo namba na emails ni za watanzania ambao wewe unajuana nao aje??
Kwa majaribio natumia Home Nimejipanga vizuri Emails zote zinaingia inBox na sio Junk(spam)Wazo zuri sana na umefunguka ipasavyo,nikweli hii huduma wa Nigeria wapo advanced sana.Natatizo kubwa la hapa kwetu emails nyingi zinakuja kama Junk mails.
Sasa mtu hawezi kusoma baadala yake ana delete zote na ujumbe kuwa haujafika.
Sasa wewe zako zipoje.Maana nina experience ya haya majunk mails kwa watu wanao serve TZ.
Then weka email yako
Itakuwa poa sana kaka, Mimi nipotayari kabisa, I know how to get all peoples numberz and some of Emails, system ipo na hii biashara inalipa.Good thinking ningependa kufanya joint venture nawewe mtoa mada ili tuanzishe kitu kama hiki in another African country where uhakika kitu kama hiki hakuna niPM
Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums