How serious is Justin Trudeau?

How serious is Justin Trudeau?

Father of All

JF-Expert Member
Joined
Feb 26, 2012
Posts
7,672
Reaction score
9,039
"Islamophobia is real, racism is real. You should have to face that hate in your communities, in your country. We can and we will act. We can and we will choose a better way."Prime Minister Justin Trudeau.
 
Sasa tatizo ni nini si kasema ukweli ulivyo nchini Canada, ulitakaa aongope kama serikali za kiafrika? Ukweli lazima usemwe na kasema
 
Huyo Justin ndo nani kwenye Tanzania ya viwanda? [emoji851]
 
Waislamu huko Canada wanazaliana utadhani wanamashindano flani. Maimam misikitini wanawahimiza wahakikishe demu wakiislam akifikisha miaka 25 awe na watoto si chini ya wa 5. Na pia hivyo hivyo ulaya. Cha ajabu wengi wao wanategemea social money na hata wakifanya vijikazi bado wanatumia janjajanjanyingi kupata iyo social money. Wanamsemo wao eti ukimuibia au kumdanganya kafiri siyo dhambi imeruhusiwa hadi kwenye dini.

Ndo maana Watu kama Trump wanahitajika sana
 
Mwanasiasa anaweza kukuaminisha hii ni "A",Huku akijua kabisa sera ya nchi inasema hiyo ni "B".
Don't ever trust politician's word..
 
Back
Top Bottom