MSAGA SUMU JF-Expert Member Joined May 25, 2015 Posts 6,661 Reaction score 21,656 May 30, 2016 #1 Hey,natafuta kitabu tajwa hapo juu,nimejaribu kukitafuta sana kwenye bookshop kadhaa hapa Dar lkn nimekikosa,mara ya mwisho niliwahi kukiona Nairobi,author ni Ochuku Oteya ni prof pale KU. Mwenye pdf au link naomba tuwasiliane.Kila la kheri
Hey,natafuta kitabu tajwa hapo juu,nimejaribu kukitafuta sana kwenye bookshop kadhaa hapa Dar lkn nimekikosa,mara ya mwisho niliwahi kukiona Nairobi,author ni Ochuku Oteya ni prof pale KU. Mwenye pdf au link naomba tuwasiliane.Kila la kheri