CHECK THE VERSES BELOW AND SEE HOW SMALL MISTAKES COST IN YOUR MARRAIAGE LIFE.
A baker was asked to print 1 John 4 verses 18 on a wedding cake. He forgot and printed John 4 verses 18.
The 1 John 4 verses 18 reads:
"There is no fear in love; but perfect love cast out fear: because fear has torment. He that fears is not made perfect in love".
John 4 verses 18 reads:
"For you have had five husbands; and he whom you now have is not your husband: in that said thou truly".
What would you do if you were the owner especially realizing the mistake on your wedding day?
No one will notice anyway so why bother? Just enjoy the celebtarions, eat the cake including the verses.
Ni kweli ndugu,vitu ambavyo vinaonekana ni vidogo ndio huwa vinaharibu ndoa.Si vizuri kupuuzia vimakosa vidogo vinavyoonekana ni minor.Kwa mfano unaweza kuwa unatofautiana na mwenzi wako katika TV,yeye anapenda mieleka na wewe unapenda tamthilia.Inafika kipindi inabidi u-sacrifice japo utaumia kwa ajili ya kuepuka ugomvi.Kuna vitu vingine vingi watu wanaviona vidogo lakini mara nyingi ndio huzaa mambo makubwa.So be careful enyi wanandoa wote.
..Ulijuaje?? Mi imenikumba juzi wakati nataka kucheki mechi ya Liverpool na Blackburn ilikuwa tabu kwa kweli ilibidi ni-apply ubabe kidogo maana Ma-1st lady yeye mbovu sana wa hivi vi-tamthilia..!!! Mtu alilalamika mpaka basi na mzigo nikanyimwa usiku huo!!Ni kweli ndugu,vitu ambavyo vinaonekana ni vidogo ndio huwa vinaharibu ndoa.Si vizuri kupuuzia vimakosa vidogo vinavyoonekana ni minor.Kwa mfano unaweza kuwa unatofautiana na mwenzi wako katika TV,yeye anapenda mieleka na wewe unapenda tamthilia.Inafika kipindi inabidi u-sacrifice japo utaumia kwa ajili ya kuepuka ugomvi.Kuna vitu vingine vingi watu wanaviona vidogo lakini mara nyingi ndio huzaa mambo makubwa.So be careful enyi wanandoa wote.
..Ulijuaje?? Mi imenikumba juzi wakati nataka kucheki mechi ya Liverpool na Blackburn ilikuwa tabu kwa kweli ilibidi ni-apply ubabe kidogo maana Ma-1st lady yeye mbovu sana wa hivi vi-tamthilia..!!! Mtu alilalamika mpaka basi na mzigo nikanyimwa usiku huo!!
For the sake of harmony and in oder to accomodate ur selfishness ( wote wewe na FL wako mko selfish) invest in a second TV.
Kuna couple moja, tena watu wazima sana walikuwa wanagombea vitu kama hivi, bwana anataka kusikiliza habari, mke anataka tamthilia ilibidi kuwashauri kununua TV ya pili na ugomvi kwisha!
...Hata mimi nilikuwa na wazo hilo maana mkuu mtu alivyosala sikuamini kuwa ni kwa ajili ya TV tu au alikuwa na mambo mengine!!!! - Kaushauri kazuri sana!!!For the sake of harmony and in oder to accomodate ur selfishness ( wote wewe na FL wako mko selfish) invest in a second TV.
Kuna couple moja, tena watu wazima sana walikuwa wanagombea vitu kama hivi, bwana anataka kusikiliza habari, mke anataka tamthilia ilibidi kuwashauri kununua TV ya pili na ugomvi kwisha!
ZD,Unajua vera,unaweza kukuta huo uwezo wa tv 2 kapo nyingi hawana,sasa nao wafanyaje?isitoshe hili la tofauti lipo hata kwenye vyakula.kwa mfano mimi sipendi makande sasa kama mwenzangu ndio ugonjwa wake ,dah inaweza kuwa ngumu kweli.
For the sake of harmony and in oder to accomodate ur selfishness ( wote wewe na FL wako mko selfish) invest in a second TV.
Kuna couple moja, tena watu wazima sana walikuwa wanagombea vitu kama hivi, bwana anataka kusikiliza habari, mke anataka tamthilia ilibidi kuwashauri kununua TV ya pili na ugomvi kwisha!
Hapa hapawajawahi zungumzwa lkn panaleta sana ugomvi hasa kukiwa na TV moja tu ya kuangalia. Kila mtu anapenda program zake, wanaume wengi tunapenda mpira, mieleka, sometimes kuna vipindi km fear factor etc, haha nakumbuka wife alipenda sana kuangalia TWAARAB mie mpira unanipita, nikapiga akili nikagundua udhaifu wake uko wapi, nikajidai naishobokea twaarab hasa mijimama yenye kuzungusha kiuno na ule mtindo wao wa kutikisa makalio, hohoo nikasifia kimtindo aaaaaaaaah kilichofuata hapo ni kuzimwa kabsa TV tehe, nikamwambia tuangalie tu mpira, basi toka siku hiyo hapendi tena kuangalia taarab nikiwepo
haaaa heeeeeeeeeeeeHapa hapawajawahi zungumzwa lkn panaleta sana ugomvi hasa kukiwa na TV moja tu ya kuangalia. Kila mtu anapenda program zake, wanaume wengi tunapenda mpira, mieleka, sometimes kuna vipindi km fear factor etc, haha nakumbuka wife alipenda sana kuangalia TWAARAB mie mpira unanipita, nikapiga akili nikagundua udhaifu wake uko wapi, nikajidai naishobokea twaarab hasa mijimama yenye kuzungusha kiuno na ule mtindo wao wa kutikisa makalio, hohoo nikasifia kimtindo aaaaaaaaah kilichofuata hapo ni kuzimwa kabsa TV tehe, nikamwambia tuangalie tu mpira, basi toka siku hiyo hapendi tena kuangalia taarab nikiwepo
No one will notice anyway so why bother? Just enjoy the celebtarions, eat the cake including the verses.