Very very trueHii inamaana kua wanaofariki Tanzania kutokana na makali ya njaa pamoja na umasikini na maradhi ni wengi mno ila serikali dhalimu haliruhusu habari na ripoti za uhakika zifuje nje.
Tunayoyaona Kenya in kwasababu ya Uhuru mkubwa sana
wa vyombo vya habari pamoja na uwazi wa raia wa kawaida bila kuvisahau vyombo vya dola.
Hii ni serious stuff kama hata www.bloomberg.com wame ripoti kusitasita kwa serikali kutoa taarifa kwa umma.
Hii inamaana kua wanaofariki Tanzania kutokana na makali ya njaa pamoja na umasikini na maradhi ni wengi mno ila serikali dhalimu haliruhusu habari na ripoti za uhakika zifuje nje.
Tunayoyaona Kenya in kwasababu ya Uhuru mkubwa sana
wa vyombo vya habari pamoja na uwazi wa raia wa kawaida bila kuvisahau vyombo vya dola.
Fake news!Tanzania’s government declined to authorize the publication of the International Monetary Fund’s report on the state of the East African nation’s economy, which could have significant implications for foreign investment and aid flows.
Under Article IV of its Articles of Agreement, the IMF is authorized to inspect the economic, financial and exchange-rate policies of its members to ensure a smooth-running international monetary system. This entails at least one annual visit by IMF economists to the member country to analyze data and hold meetings with government and central bank officials. They submit a report to the executive board, which then transmits its views to the country’s government and publishes a summary of the report on its website with the consent of the member nation.
“On March 18, 2019, the executive board of the IMF concluded the consideration of the 2019 Article IV Consultation with the United Republic of Tanzania,” the IMF said in an emailed statement on Wednesday. “The authorities have not consented to publication of the staff report or the related press release.”
https://www.bloomberg.com/news/arti...nternational-monetary-fund-report-publication
Unaudhi jameni….All your posts about Kenya ni njaa….When you get cornered, Kenya kuna njaa...When Kenya is doing sth positive, njaa....When Kenya's GDP triples to that of Tz, njaa….Hatukatai Kenya kuna sehemu zina ukame unaosababisha hali hii, lakini hata haifiki asilimia moja ya Kenyan population...yet wewe uko hapa kila siku ukiropoka ropoka ni kama nchi yote ina njaa….
IMF is a puppet organization for the EU since GoT rejected EPA they have resorted to smear company just figure out Kenya's GDP is $99bln while thousands r dying of hunger!
Definitely, less than a half of Kenya'sI wouldn't be suprised that their GDP is $40b.
Halafu utawasikia wakisema Kenya is corrupt.Kuna mbunge wao anaitwa Zito Kabwe ametiririka makubwa, yaani 4.8trillions sio kidogo, hebu fuatilia huku
Zitto: Ripoti ya CAG inaonyesha Sh. Trilioni 4.8 zimetumika bila kupita Mfuko Mkuu wa Serikali, Ikulu yatumika kuficha ukaguzi wa manunuzi ya ndege
Uchambuzi wa ACT Wazalendo Kuhusu Maeneo Kumi (10) Muhimu Kwenye Ripoti ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) kwa Mwaka wa Fedha wa 2017/18 - Ikulu Yatumika Kuficha Ukaguzi wa Manunuzi ya Ndege - Bilioni 800 Hazikutolewa kwa Ukaguzi - Trilioni 4.8 Zimetumika Bila Kupita Mfuko...www.jamiiforums.com
Deal with cold hard facts wacha mipasho ya taarabu mtoto wa kiume!
Denial as usual.IMF is a puppet organization for the EU since GoT rejected EPA they have resorted to smear company just figure out Kenya's GDP is $99bln while thousands r dying of hunger!
Afadhali nilale njaa kwa nchi yenye GDP ya kufa mtu kushinda kuishi katika stone-age Tanzania.What is the Meaning of Kenya’s $99bn GDP yet thousands starve to death, uhaba wa Maji safi na kipindupindu kinawamaliza, umaskini wa kutupwa, funza ikiwa miongoni mwa matatizo ya zaidi ya nusu ya wakenya
Yet you're arguing with them in their forum.Afadhali nilale njaa kwa nchi yenye GDP ya kufa mtu kushinda kuishi katika stone-age Tanzania.
Kwani Kenya sio corrupt, ni wakenya wenzenu ndio wanaleta hizo habari za corruption, do not blame the messengers.Halafu utawasikia wakisema Kenya is corrupt.
You wish, mbona hawadadavui uchumi wa nchi kibao duniani, and you so concerned abt Tz.Definitely, less than a half of Kenya's
Hamshurutishwi kufanya lolote, hizi ni process na mikataba ambayo Tz ilikubali kutia saini. Alafu sijui kama unaelewa kwamba mtapoteza wawekezaji kwasababu ya ubabe wenu wa peni mbili wa kuficha vitu ambavyo vinaonekana wazi.Serikal hii hata akija nani na habar za kisenge hapewi airtime...hao imf wanamlazimisha nani kwan hii ni sovereign state hatuambiwi cha kufanya
Kenya tunakubali tuko corrupt. Nyie kila mara mwajisifu eti hamna corruption kumbe huko ndio kubaya Zaidi.Kwani Kenya sio corrupt, ni wakenya wenzenu ndio wanaleta hizo habari za corruption, do not blame the messengers.
Sent from my TECNO CX Air using JamiiForums mobile app
Same way you are also concerned with Kenya.You wish, mbona hawadadavui uchumi wa nchi kibao duniani, and you so concerned abt Tz.
Sent from my TECNO CX Air using JamiiForums mobile app
In the Kenyan section.