This is Kigongo - Busisi Bridge {3.2 kilometers} will be connecting Mwanza with Geita so to Rwanda, Burundi, DRC Uganda in most convenient short routes on Lake Victoria,
Nipo hapa nawaza with lots of options and routes to reach such countries especially Uganda with different modes of transport from water to land, what gonna happen to Mombasa Port in the long run?
View attachment 1057757View attachment 1057758
REDEEMER. hilo daraja has nothing to do with international trade competitiveness. Kama ni urahisi wa mzigo kufika Uganda from Dar es Salaam short route kutokea Mwanza ni kupitia majini na meli zipo tayari.
Biashara ya nchi yetu ni one way yaani ni kutoka Bandarini kwenda mpakani. Hilo daraja halihusiki na njia kuu za Dar kwenda mipakani.
Isitoshe magari yanayotumia njia husika yalikuwa yana vuka kwa kutumia ferry na kwa mabasi yapo yatakayoendelea kutumia ferry ya Kamanga kutokana na sababu za umbali.
What happened to Mombasa bridge? Jubilee ate construction money? BTW is Kenya having even a 300m bridge? ๐Hey it's morning wake up, you also wondered what Bagamoyo will do to Mombasa and we all know what happened.
Sent using Jamii Forums mobile app
What happened to Mombasa bridge? Jubilee ate construction money?
REDEEMER. hilo daraja has nothing to do with international trade competitiveness. Kama ni urahisi wa mzigo kufika Uganda from Dar es Salaam short route kutokea Mwanza ni kupitia majini na meli zipo tayari.
Biashara ya nchi yetu ni one way yaani ni kutoka Bandarini kwenda mpakani. Hilo daraja halihusiki na njia kuu za Dar kwenda mipakani.
Isitoshe magari yanayotumia njia husika yalikuwa yana vuka kwa kutumia ferry na kwa mabasi yapo yatakayoendelea kutumia ferry ya Kamanga kutokana na sababu za umbali.
Recent talk on Bagamoyo portShow us Bagamoyo Port. I told you that will NEVER happen in 500 years just like atcl flying to Bombay hata naezaenda mwezini kabla hiyo haijafanyika
"Isitoshe magari yanayotumia njia husika yalikuwa yana vuka kwa kutumia ferry na kwa mabasi yapo yatakayoendelea kutumia ferry ya Kamanga kutokana na sababu za umbali."REDEEMER. hilo daraja has nothing to do with international trade competitiveness. Kama ni urahisi wa mzigo kufika Uganda from Dar es Salaam short route kutokea Mwanza ni kupitia majini na meli zipo tayari.
Biashara ya nchi yetu ni one way yaani ni kutoka Bandarini kwenda mpakani. Hilo daraja halihusiki na njia kuu za Dar kwenda mipakani.
Isitoshe magari yanayotumia njia husika yalikuwa yana vuka kwa kutumia ferry na kwa mabasi yapo yatakayoendelea kutumia ferry ya Kamanga kutokana na sababu za umbali.
Possibly hujui jiographia ya eneo husika. Panapojengwa daraja palikuwa na ferry."Isitoshe magari yanayotumia njia husika yalikuwa yana vuka kwa kutumia ferry na kwa mabasi yapo yatakayoendelea kutumia ferry ya Kamanga kutokana na sababu za umbali."
So now is ferry versus Bridge? Kipi kinarahisisha usafirishaji wa mizigo kwa ufanisi kati ya hivyo viwili?
Recent talk on Bagamoyo port
It is worth mentioning that ports and logistics is one of the targeted investment sectors in SGRFโs business strategy. The Fund has invested in a number of strategic ports around the world, such as Kumport in Turkey, Bharat Mumbai Container Terminals in India, in addition to the Bagamoyo Port development in Tanzania.
https://timesofoman.com/article/1020729/Business/Economy/SGRF-signs-logistics-pact-with-Djibouti
Stop quoting me if you didn't read my threadPossibly hujui jiographia ya eneo husika. Panapojengwa daraja palikuwa na ferry.
Daraja linajengwa kurahisisha kulink pande mbili za Kigongo ferry. Ninachoongea hapa ni dhana kuwa daraja husika litaleta ushindani wa kibishara wa kimataifa. Hili si kweli. Njia ya majini ni gateway rahisi kwa mizigo na kwenda nchi yoyote ile uliyotaja na ndio maana Serikali inaongeza meli mpya Ziwani.
Pia kama issue ni distance advantages kupita Kamanga ferry ni easiest and shortest route.
Naomba usichukulie poa huo kibiashara.Possibly hujui jiographia ya eneo husika. Panapojengwa daraja palikuwa na ferry.
Daraja linajengwa kurahisisha kulink pande mbili za Kigongo ferry. Ninachoongea hapa ni dhana kuwa daraja husika litaleta ushindani wa kibishara wa kimataifa. Hili si kweli. Njia ya majini ni gateway rahisi kwa mizigo na kwenda nchi yoyote ile uliyotaja na ndio maana Serikali inaongeza meli mpya Ziwani.
Pia kama issue ni distance advantages kupita Kamanga ferry ni easiest and shortest route.
Naomba usiuchukulie poa huo mradi. Katika biashara ya usafirishaji utakuwa na impact kubwa sana.Possibly hujui jiographia ya eneo husika. Panapojengwa daraja palikuwa na ferry.
Daraja linajengwa kurahisisha kulink pande mbili za Kigongo ferry. Ninachoongea hapa ni dhana kuwa daraja husika litaleta ushindani wa kibishara wa kimataifa. Hili si kweli. Njia ya majini ni gateway rahisi kwa mizigo na kwenda nchi yoyote ile uliyotaja na ndio maana Serikali inaongeza meli mpya Ziwani.
Pia kama issue ni distance advantages kupita Kamanga ferry ni easiest and shortest route.
Stop quoting me if you didn't read my thread
"Nipo hapa nawaza with lots of options and routes to reach such countries especially Uganda with different modes of transport from water to land, what gonna happen to Mombasa Port in the long run?"