K kind lady Member Joined Mar 12, 2015 Posts 42 Reaction score 5 Mar 24, 2015 #1 Nisaidieni vipimo vya kupika mkate wa kawaida mweupe
Mrs Kharusy JF-Expert Member Joined Sep 23, 2013 Posts 1,244 Reaction score 671 Mar 26, 2015 #2 Mkate wa kawaida ndo upi??!
F farkhina Platinum Member Joined Mar 14, 2012 Posts 14,568 Reaction score 16,917 Apr 7, 2015 #3 White bread kama wa bakhresa
H Haika JF-Expert Member Joined Mar 3, 2008 Posts 2,347 Reaction score 562 Apr 8, 2015 #4 Kama umeweza kufika humu ni rahisi zaidi kupata majibu kwenye search engine za mapishi ila ukienda you tube unapata na demo kabisa. Mimi ndio huwa naenda humo
Kama umeweza kufika humu ni rahisi zaidi kupata majibu kwenye search engine za mapishi ila ukienda you tube unapata na demo kabisa. Mimi ndio huwa naenda humo