How to be a good partner...?

Kwa afya ya akili, mke/mume wako inapendeza akawa rafiki yako.

Hii ni kweli kabisa LD; mume na mke wakiwa best friends, hakuna tena wasiwasi kati yao. Tatizo lililopo unakuta eti mke/mume ana best friend wake, ambaye ana-share siri, lakini mume/mke wake nyumbani hazijuwi hizo siri! Mwenzi wako akigundua kuna siri hazijui, kutokuamini kunaanza! Be a friend to your partner, itapunguza presha!!
 
hahah.....

wanaume ndio tunakalishwa chini, ukikalisha chini wewe unaambiwa ni unyanyasaji wa kijinsia mazee.. upo hapo?:Cry:

hahahahaaaaaaaaa nimecheka kama mazuri jamani huyo mama watoto mbona anakuonea hivyo mwe! Huyo ana gubu la kupitiliza huyo muitie wazee wamkanye kama we unashindwa asiposikia basi ujue ashakuchoka
 




huyo mwanamke mwenzangu nimemnyooshea mikono lol, ni kweli wanawake wote tuna gubu including mimi ila isizidi mpaka kumkosesha mwenzio amani we c uling'ang'ania kuolewa? ndio utulie nyumbani ulee watoto
 
yani hadi sasa sijapata jibu

nifanyeje kuwa a good partner? au haiwezekani?

Ushauri wangu kwa pande zote mbili: Be yourself and try to make your partner happy. Kila mmoja akiwa na hiyo attitude, inawezekana kabisa ukawa a good partner.
 

Mh! hizi ndoa bana ila wababa mwatakiwa muwe ngangari bana ila sio ungangali wa kumkomoa mwenzako unatakiwa wewe kama baba uwe na misimamo ambayo mama anatakiwa afuate, mimi bana huwa napenda niwe na mwanaume ambae kuna kipindi niwe namuogopa nasema mh huyu baba leo akija nitamueleza nini mie. ila mwanaume wa mimi kumuongoza kila ninachosema ndio anafuata hata kama hakifai hata simtaki mie.

Na wamama msomao humu magubu ndio yanayosababisha wababa kila siku kuongeza mipango ya nje matokeo yake mipango mingine inawaroga anaishia huko huko halafu unabaki unateseka na watoto
 
Ushauri wangu kwa pande zote mbili: Be yourself and try to make your partner happy. Kila mmoja akiwa na hiyo attitude, inawezekana kabisa ukawa a good partner.
ushauri huu naufananisha na kiongozi mmoja wa marekani aliwahi kuwaambia raia wake kwamba to be good, you have to be very good and to work hard you need to be a hard worker

kha
 


pata black label kwa bili yako tafadhali, safi sana aisee
 
Hahahahahaha, Acid huyo partner mbona anaonekana kama anampeleka peleka sana mwenzie?

Being good partner isnt only from you, inabidi wote mshirikiane wote mpoteze nusu ya uhuru wenu. Msikilize partner wako anataka nini na yeye vivo hivyo kwako,vinginevyo mmoja atakua mtumwa wa mwenzake na bado ataonekana hana jema alitendalo.
 
yani nimecheka leo mbavu sina. Acid you are very funny.
 
mi nakushauri jaribu tu kumuelewa na kufanya yale ambayo moyo wako unashuhudia kuwa ni ya haki. timiza wajibu wako kama mume, baba, na kiongozi wa nyumba. mpende mkeo kama inavyostahili, tunza familia yako kama impasavyo mume, uwe na muda wa kutosha kujua familia inaendeleaje, nini kipya, nini kinahitaji attention yako, mtimizie wife haja za moyo wake kulingana na uwezo wako na utashi wenu, na ukishafanya haya yote mengine yasikusumbue akili, you will be a good partner na roho yako itakuwa na amani hata kama mwenzio ana gubu. live ur life after that coz we only live once, ukikalia masononeko na arguments utawahi kufa bure.
 
we acha tu, kusikiliza ni lazima wewe usikilize ila yeye anachagua cha kusikiliza... na usiposema anasema sasa mbona huongei, ukiongea anasema sina muda wa kusikiliza

you may think this is a game, but surely wapo watu kama hao

nyie acheni tu
 

heheheeeeeeeeeeeeee nimefanya hivyo mama, nikaambiwa sasa naona mzee unajipendekeza hadi kwa watoto... bado kwa mahausi geli sasa, LOL
 
Kazi kwelikweli, heri kuitwa mjeuri kuliko kubembeleza mwanamke...

Sina maana simpendi no.
 
heheheeeeeeeeeeeeee nimefanya hivyo mama, nikaambiwa sasa naona mzee unajipendekeza hadi kwa watoto... bado kwa mahausi geli sasa, LOL

Wakati nikiwa mdogo nilikua natamani niwe mkubwa, ili niwe na uhuru wa kufanya mambo yangu bila kuulizwa wala kujitetea wala kuomba ruhusa kwanza....ila kwa sasa nagundua udogoni nilikua na uhuru wa kweli.....:Cry:
 
heheheeeeeeeeeeeeee nimefanya hivyo mama, nikaambiwa sasa naona mzee unajipendekeza hadi kwa watoto... bado kwa mahausi geli sasa, LOL

sorry then du!
 
Wakati nikiwa mdogo nilikua natamani niwe mkubwa, ili niwe na uhuru wa kufanya mambo yangu bila kuulizwa wala kujitetea wala kuomba ruhusa kwanza....ila kwa sasa nagundua udogoni nilikua na uhuru wa kweli.....:Cry:
kweli kabisa mkuu

siku hizi uhuru wako unashikiliwa na mamsapu, watoto, wazazi, mkoloni, bar, ndugu, rafiki na hata mpango wa kando...:smile-big:
 
solution: Kata ze mtungi sanaa; ktk sita kwa sita-shusha kipondo havi;asubuhi- acha mshiko ndani afu potea zako ktk misele ya maisha!!wamama wana kamusi za kila maneno vichwani mwao:
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…