The Eric
JF-Expert Member
- Feb 23, 2019
- 6,446
- 10,976
Wakuu Salaam!
Kuna kamsemo wazungu wanakipenda kukisema 'If you not making money then your making nonesense.
Naomba wenye highlights na dondoo chache just in brief summary watufahamishe ni jinsi gani mtu anaweza kufanya shughuli hii ya ushereheshaji katika masherehe, misiba(burial ceremony), matamasha(concerts na festivals) na vikao(meetings mbalimbali).
Basi wakuu mambo ni mengi na vijana hatuna budi kujitengenezea fursa mbalimbali ilimradi kwanza mkono uende kinywani na ufanye saving kadhaa.
Mimi kwa mujibu wa kazi hizi kigezo kikubwa kwangu ni
1. Cofidence(kujiamini yaani wa darasa la saba anafanya hii kazi ila graduate hawezi eti kisa hajiamini)
Haya leteni vigezo vingine.
NB: walio ajiriwa kama Walimu na wengineo you can do this as a part time job.
Karibuni kwa michango yenu.