Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Duniani kuna mambo kila nikirudia kuiangalia nawaza sana nasema hivi huyu jamaa amewaweka wanawake katika rank ganiKaka ninacheka kila nikikumbuka jamaa anavyosisitiza....hii dunia acha tu!
Kaka ninacheka kila nikikumbuka jamaa anavyosisitiza....hii dunia acha tu!
Mkuu kuna mambo mengine siyo ya kucheka ila mtu hauna jinsi kicheko kinakuja chenyewe basi ndio huyu Sheikh ameniacha hoiEti unaruhusiwa kumdunda waifu akikunyima tu, baaaaaaaasi
Tena bila kuinua mkono juu, bila kumfanya akose raha na tena isiwe kichwani. Its Forbidden!!!!!
Nje na hapo, HURUHUSIWI HATA KUMTISHA . . . achilia mbali kumpiga kabisa.
Mtangazaji amebaki ameduwaa tu, haamini!!!!!!!!!!!
Eti unaruhusiwa kumdunda waifu akikunyima tu, baaaaaaaasi
Tena bila kuinua mkono juu, bila kumfanya akose raha na tena isiwe kichwani. Its Forbidden!!!!!
Nje na hapo, HURUHUSIWI HATA KUMTISHA . . . achilia mbali kumpiga kabisa.
Mtangazaji amebaki ameduwaa tu, haamini!!!!!!!!!!!
Na mwanaume akimnyima mwanamke afanywaje
ni bora uondoke kabla hujawa na ngeu,............ sijui nimepatia kinachoongelewa hapa maana duh! utu-uzima tena mmmh!yaani ukinipiga kesho tena nakunyima
:boink::boink::boink:Na mwanaume akimnyima mwanamke afanywaje
:A S 114::A S 114::A S 114:mpige,:happy:
kama una ubavu lakini...:happy:
Hahaha wewe umemaliza kila kitu lolyaani ukinipiga kesho tena nakunyima