How to beat Your Wife

Hahahaha!!! Lol Masanilo bana umeniacha hoi sijui umeitoa wapi hii
 
Nimerudia kuangalia jinsi anavyosisitiza nimeishia kucheka tu, hii dunia hii lol
 
Shekh nilichomfurahia zaidi ni msisitizo wa RUKSA YA KUCHAPA MKE INAPATIKANA WAKATI GANI??Ukinyomwa muziki tuuu WIFE lazima apate mkong'oto; anategemea niende wapi??? Hakika duniani kuna mambo🙂
 
Eti unaruhusiwa kumdunda waifu akikunyima tu, baaaaaaaasi
Tena bila kuinua mkono juu, bila kumfanya akose raha na tena isiwe kichwani. Its Forbidden!!!!!
Nje na hapo, HURUHUSIWI HATA KUMTISHA . . . achilia mbali kumpiga kabisa.
Mtangazaji amebaki ameduwaa tu, haamini!!!!!!!!!!!
 
Mkuu kuna mambo mengine siyo ya kucheka ila mtu hauna jinsi kicheko kinakuja chenyewe basi ndio huyu Sheikh ameniacha hoi
 

Huyu jamaa hamnazo kabisa!
 
hahahha sio unampiga mpaka her face turns ugly nimeipenda,wanaelewa kuwa sie ni delicate hatutakiwi kushindiliwa mangumi ila duh,kisa sex???????ndio unipige......????,,,,,natamani kuona wale mafemale activists watasema nini kuhusu hili lol
 
...Naaam, naam.
Darsa zuri sana. Mwenye masikio na asikie,
na mwenye akili na aitumie.
 
Mimi sijaelewa kitu,

Huyu Shekh analo lake jambo. Utamfunzaje adabu mtu mzima, tena adabu ambayo hakufundishwa na wazazi wake?
 
...tatizo ni kwakuwa shehe kasema?

...nawashauri mumsikilize tena kwa makini, mtafakari na muelewe, (unless tatizo
litakuwa lugha.)

Shehe kwenye ufafanuzi wake amesema mke hapigwi!
(mume) Ataruhusiwa kupiga (as a last resort!) baada ya kumkanya, kumuonya, na kumtishia
pale tu mke atapomnyima unyumba (waliopo kwenye ndoa mnajua sio ajabu kunyimana unyumba)

fikiria Kupiga bila kupitiliza, kuumiza au kutoa alama, kuna maana gani kisha tujadili.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…