How to beat Your Wife

Mbu huyu Shehe ana lake jambo kwa kweli
 
Kumbe ndio Maana Gaidi Sheikh Osama Bin Laden aliwateka wanawake 3 na kuishi nao mafichoni kama wake zake! sasa nimepata jibu. Atakaesema Osama aliwahi kuoa naomba ushaidi wa picha hapa au video clip.
 
kwa mtaji huu,ndugu zangu wa kule,
kwa akina mwita maranya imekula kwao!!!!!!!!
kule mke anashikiwa mpaka panga lol.....
 
Duuuh... interesting!

Interpretation over interpretation of interpreted "Holy Words"... Waafrika hatukuandika ya kwetu, wala hatuandiki ya kwetu. We swallow like it is whole heartedly!!
 
duh Rev.Masanilo
sijui umeichuja wapi hii.

Kipigo sawa ila hiyo sababu iikubali
 

Huwezijua Mbu,
labda sheikh alikuwa anaelezea,
kumpiga mke kisharobaro sio kama wanavyopiga wale watu wa Musoma!!!!!!!!
 
Sheikh amenichekesha sana, lakini pia ametoa somo zuri sana, usipige kichwani, usimtoe alama, usimfanye awe mbaya nk... Bongo watu wanadunda wake zao hadi wanawatoa macho aisee, AIBU

Ila sheikh naye mhuni sana, ati anasema akikunyima unaweza ukamla kichapo, sasa ukishapiga si ndio hupewi kabisa mchezo aisee??? nimependa msisitizo pale alipokua anasema akikunyima... where esle could the husband go???

hahahahah
 
Mimi nasubiri tu hizo comments.. Very interesting.... the clip na comments of course....
 

Mkuu hebu stop kunichekesha bana.

Leo huku ofisini nimekuwa kama kreze!
 
Rafiki acha uchoyo.

Mchungaji Masa. Leo umefanikiwa kunichekesha. Nimecheka kama zuzu....khaaaaaaaaa!
mchungaji anataka kunigombanisha na mkoloni sasa.... maana nimecheka na kushindwa kujizuia aisee

tafsiri ya uswahilini wanakwambia "chapa ilale"
 
Hakuna kipigo kisicho na majeruhi, waweza mpiga chn ukamchubua, ukamvimbisha juu, nk jamani wachangiaji hamlioni hilo?
 
Hakuna kipigo kisicho na majeruhi, waweza mpiga chn ukamchubua, ukamvimbisha juu, nk jamani wachangiaji hamlioni hilo?
ndio maana kuna mafunzo ya namna ya kupiga, waswahili ni migumi na miteke... sheikh katoa somo, sasa ni busara zetu kung'amua

Mie ntamchapa taratiiiibu hadi mwenyewe analegea na kulala swafi,
 
Reactions: Mbu
mchungaji anataka kunigombanisha na mkoloni sasa.... maana nimecheka na kushindwa kujizuia aisee

tafsiri ya uswahilini wanakwambia "chapa ilale"

Mchungaji sijui kaamkia wapi.

Ila huyu shehe naye dah! Hivi mtu akakunyima mzigo ukamdunda za tumboni ili akupe. Akikugea huku analia, utamu utatoka wapi? Si bora upige punyeto au uwahi Rose Garden ujichukulie Jonista wako upige cha chap chap?
 
Lakini na wewe masa ulikua unatafuta nini hadi ukapata hii clip??

You never stops to amaze me mkuu:evil:

Kazi za kiroho kaka! Bwana salama lakini pande hizo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…