FirstLady1
JF-Expert Member
- Jul 29, 2009
- 16,789
- 5,401
kuna wale wanaojifanya wababe, ukiblock namba moja, wanapiga na nyingine
waache wapige vocha ikiisha watachoka na wakilonga longa, chaji itaisha
Kwa wenye Nokia nendeni katika site hii www.epocware.mobi/
Lizy, inadepend na simu uliyokuwa nayo. Kwa mfano mi natumia samsung double line D780 ina option ya kublock number ambayo hutaki iingie.
Kinachofanyika kwa anaekupigia anaona kama simu iko busy ina search halafu inakatika lakini kwako inaingia kama miss call ambapo haiiti kabisa.
And security wise samsung wanajitahidi sana!!
Lizy niaje aisee...Naona huna hiana unatembeza senksi tu kwa kwenda mbele...hahahah
Halafu unakuta ni lijitu ambalo halina mbele wala nyuma, na watu kama hawa mimi dawa yao moja tuu...POLICE.kweli kuna watu wajuaji na ving'ang'anizi ka kupe
kweli kuna watu wajuaji na ving'ang'anizi ka kupe
Unatumia nokia? N series? basi nitumie PM.
Asante Mapinduzi,
natumia 'Mchina' haina jina.
Ila kama una ufumbuzi wa tatizo hilo kwa wenye Nokia Nseries umwage hapa unaweza saidia wengineo kama wapo.
Asante sana
Halafu unakuta ni lijitu ambalo halina mbele wala nyuma, na watu kama hawa mimi dawa yao moja tuu...POLICE.
Asante Mapinduzi,
natumia 'Mchina' haina jina.
Ila kama una ufumbuzi wa tatizo hilo kwa wenye Nokia Nseries umwage hapa unaweza saidia wengineo kama wapo.
Asante sana
please help.
So far, i set the ignore list on a silent mode, but the thing is....... I do not want to receive these nuisance calls at all.
Please help
lizy.
tatizo la kuchuna mabuzi ndo hilo..
Lazima wawanga'nga'nie....
Dawa ni kukataa ofa tu,
kama huyo mtu humpendi.
lizy nipe namc yako mi nipo kwenye kampuni la sim
Sidanganyiki!
sikudanganyi kwani unatumia kinywaji gani?
..Ni kwa simu ya aina yoyote mkuu au ??dial namba ifuatayo *35*0000# kublock. Ukitaka kuitoa ni #35*0000#.
This is according to Geoff -JF 2010