How To Build A Startups by Steve Blank

icoderz

Senior Member
Joined
Mar 9, 2014
Posts
135
Reaction score
82
Hii ni kwa wale entrepreneurs au wanaotaka kuwa entrepreneurs (wajasiliamali)

Naomba nishare na nyie link ya course ya kujifunza how to build a startups by Steve Blank kutoka Sillicon Valley Marekani. Nimeona hii course ni muhimu sana hasa sisi vijana wa kitanzania na Tanzania kwa ujumla, maana nimegundua watu wengi wana business ideas nzuri tu lakini wanashindwa kuziexecute kwasababu hawajui waanze vipi au wafanye nini inorder to build a successful company, in short hatuna elimu ya kutosha ya ujasiliamali. Watu wengi tunalalamika hatuna capital lakini hatujui Ili kupata capital you have to get off the ground and get your hands dirty first. Capital siku zote zinaenda kwenye business ambazo atleast zinatambaa sio zile hata kutambaa haziwezi. Unaweza kuwa na business ideas nzuri lakini kama uwezi kuimplement/execute then your ideas is invalid.

Anyway I hope kwenye hii course materials watu watajifunza mengi sana.

Link ni https://www.udacity.com/course/ep245

Hii course iko offered na udacity(free education online platform), ni free, unaweza kusoma mda wowote na iko online mda wote all you need is good internet access.

NB:Steve Blank ni mtu ambaye ameni inspire sana niingie kwenye entrepreneurship na yeye ni Silicon Valley entrepreneur Guru. Ametengeneza startups nyingi sana pale silicon valley.

Naomba kuwasilisha
 

iko poa
 
Nimesoma course content zake naona ni course nzuri. Inafundisha vitu ambavyo ni ujasiriamali haswa. Vitu hivi ndo hutofautisha kati ya mjasiriamali na mchuuzi. Nitaanza kula ndo jumamosi hii.
 
Safi sana mkuu. Nakuhakikishia mwisho wa course utakua deep sana kwenye ujasiliamali.
 

mkuu nimefungua lkn naona hints tu au mpk ni sign up?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…