donlucchese JF-Expert Member Joined Mar 23, 2011 Posts 17,128 Reaction score 21,885 Apr 9, 2011 #1 habar zenu waungwana? Napenda kufaham ni mazoez gani ambayo yanaweza kunifanya nikatoa kitambi nakutengeneza six packs kwa muda mfupi?
habar zenu waungwana? Napenda kufaham ni mazoez gani ambayo yanaweza kunifanya nikatoa kitambi nakutengeneza six packs kwa muda mfupi?
Inkoskaz JF-Expert Member Joined Nov 6, 2010 Posts 6,361 Reaction score 2,378 Apr 10, 2011 #2 Balanced diet nenda gym kuna machine zake kukimbia asubuhi na jioni kufanya kazi sana...sio keyboard...lima hata bustani ya mbogamboga
Balanced diet nenda gym kuna machine zake kukimbia asubuhi na jioni kufanya kazi sana...sio keyboard...lima hata bustani ya mbogamboga