how to comfirm.

how to comfirm.

tan 90

Senior Member
Joined
Jul 29, 2012
Posts
182
Reaction score
36
habari wana jamvi. . . .nimechaguliwa udom kozi ambayo sikuichagua,wala chuo chenyewe sikukichagua,ila nataka niende hapohapo waliponichagua,je nitacomfirm vipi au nikikaa kimya wataelewa kuwa nimekubali?. . . . . .msaada tafadhali.
 
why don't you call and ask them how to confirm and other questions that you may have,
 
Km upo dar nenda tcu,if not wapigie then funguka!
 
Hivi hizi button mbili;Confirm Program Allocation na Opt For 2nd Application,zipo active kwa wale tu ambao walipangiwa vyuo na program ambazo hawakuzichagua au? Nimeuliza kwa7bu kwenye profile yangu mimi hazpo active na nilishapata chuo ambacho nilikichagua mwenyewe.
 
mbona maelezo yako yanajieleza yenyewe mkuu,kama hazipo active basi wanafaham kwamba wamekuchagua unapotaka.
 
mbona maelezo yako yanajieleza yenyewe mkuu,kama hazipo active basi wanafaham kwamba wamekuchagua unapotaka.

kumbe ndo wewe mwenyewe umetoa hii mada,sasa kwenye profile yako,ukifungua cöfirm allocation,nini kinatokea? Is this button active on your profile?
 
kumbe ndo wewe mwenyewe umetoa hii mada,sasa kwenye profile yako,ukifungua cöfirm allocation,nini kinatokea? Is this button active on your profile?

yeah thanx,nimeingia and ile comfrm 4 ur alloctn ilikuwepo,na nimeclick,wakaniambia "congratulation,you are admitted to universty of dodoma in bachelor of . . . . ."
 
nimechaguliwa chuo na coz nliyoomba lakin pa kucomfirm hapako active inakuaje
 
nimechaguliwa chuo na coz nliyoomba lakin pa kucomfirm hapako active inakuaje

kwanza elewa hyo comfirm inawahusu wakina nani,mtu ambaye anatakiwa kucomfirm ni yule tu ambae amekua admitted katika chuo au kozi ambayo hakuomba kutokana na kushndwa katika competition ktk koz alizoziomba yeye,hvyo basi yule ambye amechaguliwa koz aliyoomba kati ya zile nane alizoomba mwenyewe,hakuna haja ya kukomfirm so that is y hyo sehemu ya kucomfrm haiko active,na hata yule ambaye anatakiwa kucomfirm akishafanya hvyo nae pia kwake inakua inactive,so jus wait for joining ur universty whch u are admitted to start. . .hop utakua umenielewa vizuri. . . .congrats
 
yeah thanx,nimeingia and ile comfrm 4 ur alloctn ilikuwepo,na nimeclick,wakaniambia "congratulation,you are admitted to universty of dodoma in bachelor of . . . . ."

mbona mi namconfirmia mshikaji afu cioni jibu lolote ka lako!msaada jamani?
 
Back
Top Bottom