how to control temper

Mkubwa kama yaliyomo hayomo vile. Sijui ndio plan au bahati mbaya tu....! Sijui.
 
Hesabu kimoyo moyo moja mpaka kumi kama umekasirika kidogo kama umekasirika sana hesabu kimoyomoyo moja mpaka mia moja. Hii itakusaidia kuhamisha mawazo yako kutoka kwenye maudhi kwenda kwenye kitu kingine. Pia utakuwa kimya hivyo kutokujibishana na mtu anayekuudhi. Kitu kingine ni kutafakari kwa nini mtu aliye kutendea kitendo cha kuudhi amefanya hivyo? Fikiri abla ya kutoa uamuzi. Unaweza kuondoka sehemu ya tukio na kurudi baada ya hasira KUTULIA.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…