How to convert GPS coordinates

bab-D

JF-Expert Member
Joined
May 2, 2015
Posts
1,215
Reaction score
322
Wakuu heshima kwenu, naomba anae jua app inayo tumika kucholea ramani za mashamba kutumia coordnets , nimeshasoma gps za kila kona nataka kuchora ramani na kujua ukubwa
Nawasilisha
 
Wakuu heshima kwenu, naomba anae jua app inayo tumika kucholea ramani za mashamba kutumia coordnets , nimeshasoma gps za kila kona nataka kuchora ramani na kujua ukubwa
Nawasilisha
Sassa unataka ku convert au unataka kuchora ramani?
 
Hebu weka hizo coordinates tuzichakachuchue halafu tulete mrejesho
 
Kwanza hebu tujuze wewe ni wa Taaluma ipi...?
Mana siyo kisa kujua kiingereza ndiyo ukadhani unaweza jua na kufanya majukumu ya fani nyingine...

Na kutaja Taaluma yako itawezesha watu wakwambie ni software ipi ya kutumia...
Ila kama ni Cartographer, Geologist, Surveyor au Land Planner, unaweza ng'amua hata kwa Scientific Calculator iliyopo kwenye simu yako.
 
Q-GIS
Tumia hiyo mkuu ni nyepesi tumia PC kuinstall mana watu wachoyoo kama Nini bhana
 
Kilimo mkuu
 
Nilikosa msaada humu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…