How to determine if an egg is fresh

Hii mbona ya longta.......bibi yangu alikuwa akicheck kwa namna hii......
 
Wengine tunatumia techno za kizaman ebu tudadavulie hyo picha,mie naliweka kwenye maji likielea tu nalitupa kule likizama chini mpango mzima
 
Kama umewahi kuchemsha mayai mwenyewe utakuwa umelishuhudia hili long time ago, ila kama hujawahi hata kuchemsha maji daaah lazima ushangae
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…