MIUNDOMBINU
JF-Expert Member
- Apr 14, 2010
- 465
- 96
Mkuu AZA.I tried to do what you told me but I didn't success.may give me another procedure thanx.
Kwa maelezo yako kama sd card yako inafunguka na ina onyesha empty kana kwamba hakuna picha yeyote, baada ya kufungua nenda kwenye Tools halafu click kwenye Folder Option, ikishafunguka folder option, nenda kwenye view then click kwenye view hiden files halafu click apply then click ok. Nadhani utaweza kuziona picha zako, na baada ya kuziona nakushauri uzihamishe halafu uformat hiyo sd card.