How to Fundraise for Ubunge,Udiwani

How to Fundraise for Ubunge,Udiwani

Status
Not open for further replies.

Regia Mtema

R I P
Joined
Nov 21, 2009
Posts
2,970
Reaction score
866
Wakuu, habari!

Ni wazi kuwa baadhi yetu humu jamvini tumeonesha ama tuna nia ya kugombea ama Ubunge au Udiwani na nafasi nyinginezo na wengine bado tunatafakari kama tugombee ama la. Wengi wetu tunahofu kubwa ya kuingia kwenye gane hili ni kwa kutokuwa na fedha ama kujiuliza tunapata wapi fedha za kutosha kuingia kwenye ushindani huu wa siasa..

Na kwa kuwa wataalamu wa masuala haya ya siasa wanashauri kwamba mtu yeyote anayetaka kugombea ama Ubunge au Udiwani basi asitumie zaidi ya asilimia kumi (10%) ya gharama zote toka katika mifuko yake mwenyewe.It is advised that the rest you have to raise from different Sources.

Na kwasababu hiyo basi naomba kwa wale wanaofahamu vyanzo mbalimbali basi tujadili vyanzo hivyo ili kwa wale tunaotarajia kugombea tuanze harakati za kukusanya pesa hizi kwani siku zimeisha na mchakato wa uchaguzi umeshaanza.


Possible Sources tafadhali;

Thank You in Advance for your Cooperation!!!
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom