Picha haitasaidia kwani kuna key things zitamiss. Unajua x-ray is observer dependent, yaani mtu mmoja anaweza kuangalia picha akaona finding muhimu na mwingine asiione.... you know why?.... its because in medicine eyes cannot see what the brain does not know! sasa kwa ushauri wangu ufanye mipango mgonjwa wako apige x ray nyingine lakini kwa kutumia x ray machine ambayo inapeleka picha kwenye computer then mwambie anayepiga akusevie image moja kwa moja then hiyo image ndo uitume. Nadhani muhimbili wanafanya hivyo, ukikosa hapo chek tumaini kwa dr Pedro au agha khan