Unaweka thread/post, "vitoto" vinavamia na matusi juu. Kupunguza matatizo hayo, weka thread, BLOCK any one with abusive language. Unabaki na watu wachache ambao mnaweza mka discuss issues on the same level of thinking!
Hili ni tatizo sugu sana hapa JF, badala ya mtu kujibu hoja anaanza kutukana,- character assassination type of argument.... ad hominem argument
Kumbe leo ni Nane Nane!!!!!!
Hili ni tatizo sugu sana hapa JF, badala ya mtu kujibu hoja anaanza kutukana,- character assassination type of argument.... ad hominem argument
Kumbe leo ni Nane Nane!!!!!!