nitupie link please just to exploreNairaland Forums ya bwana Seun Osewa ni zaaidi ya JF kama si Africa nzima kwa kutupiana matusi/dhihaka/kejeli na mengine kibao:
Wana app yao,Waweza kuipakua na Kutazama na kusoma mind za nigeria citizens.nitupie link please just to explore
all is possible!Sasa tuje kwa maada yako:Sabubu zipo nyingi,Mosi Huenda post/thread inaajenda fiche au ipo chini ya tafakuri/hojaji,Pili Huenda post thread inapropaganda,Tatu Huenda ugumu wa maisha unaleta changamoto nzito,Nne Baadhi watu hupenda/hufurahi kuvuruga mtu kwa namna yoyote ile. Tano- Ukosefu au uchache wa maarifa,taarifa na critical thinking katika mambo mbalimbali au field husika.
nimeiona...Nairaland Forums ya bwana Seun Osewa ni zaaidi ya JF kama si Africa nzima kwa kutupiana matusi/dhihaka/kejeli na mengine kibao:
wewe nakutaniagaWewe ndio kinara wa abusive language
Hahaha........ Sisi ni wamoja bwasheewewe nakutaniaga