ndugu yangu Hacking business means you must be good in codes and other It Technology i dont think you will get answer here because most waBongo wanaakili lakini ni wavivu sana katika nyanja hii
Hacking mara nyingi inataka ubunifu unaoendana na kucrack your brain for so long
Belive me you wont get answer from this JF Forum
Sio lazima uwe good in codes Ndugu. In todays word waht we need is to have a right and Relevant
information on a subject. Kuna watu hapa JF ingawa hawajui code watakupa taarifa za tools zinazoweza kukusaidia. Bwana Kang kakuprovia hilo.
Jiulize swali dogo tu kuunlock simu kama nokia unahitaji utaalamu gani. Resources kubwa unayoitaji ni
Internet na
time ya kusearch solution na cha muhimu zaidi kujua
wapi usearch hizo solutin za ku unlock.
tukirudi kwa swali la ndugu hapa zaidi ya alichosema bwana Kang nadhani zipo tools zinaweza kugenerate wireless Keys. . Ukiwa na taarifa fulani mfano jina la kampuni ya ISP na model au brand ya Router unaweza kupata keys.
Work arround hiyo hapo ni kama Mtumiaji hakubaldilisha security keys. i,e anatumia zile zilizokuja na vifaa kutoka kwa ISP.
Pia ukiwa unajua ISP unaweza kujua unaweza kujua Default
IP adress ya Router/
Acess Point (AP). kwa kujua IP adress ya Router /AP ambayo hasa ndo ina hifadhi wireless Keys unaweza ku connect kwenye hiyo router ni kusoma hiyo passowrd keys/SSID. kama itakuwa encrypted that is another subject Lakini kuna tools pia za kusaidia ku
decrypt Kifupi ni kwamba Ukiwa na info kidogo za Owner/ISP wa hiyo wireless device u can hack or crack it
nina uhakika kuna work arround nyingi amabzo haziitaji ujue
algebra wala
permutation
wakati huo huo jaribu kusoma soma na kudowload hii tool inaitwa
Aircrack. Ina bundle ya software za
airodump (an 802.11 packet capture program)
aireplay (an 802.11 packet injection program)
aircrack (static WEP and WPA-PSK cracking)
airdecap (decrypts WEP/WPA capture files)
Tols nyingine unaweza kucheki ni
bt3 or
bt4,
wireshark,
putty na
vnc
Otherwise njoo na taarifa ya jina la ISP na na brand/Model ya Router/AP kama unazijua
ukipata more useful info nielimishe pia