Baba mlezi
JF-Expert Member
- Apr 22, 2013
- 237
- 48
Jamani wanajukwaa naombeni msaada wenu,wakati nasafisha sikio kwa kutumia zile pamba za masikio,bahati mbaya kile kipamba cha mbele kimechomoka na kubaki kwenye sikio,ishu inakuja kwenye kukitoa.Je ile pamba yaweza kkuwa na madhara makubwa kwa sikio?