How To Handle Infidelity

Unajua dena kuna watu wanajitoa muhanga kuelezea maisha yao ili watu wengine wajifunze
lakini kuna watu hawaoni hilo, kwa mfano huyu mama , angeamua kuruka na kuelezea uzinifu
wa mume wake tu tungejua haya? tungebaki kusema tu ooooh wanaume wabaya, sema wanawake nao wa
baya ila wana njia zao za kuwa wabaya na bado jamii ikawaona ni wazuri

Soma artical jifunze upate kufanya maisha yako au sia Dena
 

Gaga bana acha uchokozi
 

Yaani aliwahi kunitukana siku moja mpaka siku yangu ikaharibika nikanyamaza lakini
Naona kumbe ndo tabia yake TUMSAMEHE BURE ndo alivyoumbwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…