Safety last
JF-Expert Member
- Mar 24, 2011
- 4,236
- 1,411
Mbona nimesema ,i want to forget her completlyTatizo haswa ni nini?Unataka kumsahau?Kuacha kumfikiria?Kuacha kumpenda?
Mbona nimesema ,i want to forget her completly
Kwahiyo ukisema hivyo ndo umejibu kila kitu??Narudia tena Umeshaacha kumpenda?Ukimwona na mtu mwingine una/utajisikia vipi?Ukisikia anaumwa utajisikiaje?Hua unamuwaza vipi..kwa mazuri au kwa mabaya?Mbona nimesema ,i want to forget her completly
Ushawahi kuona movie ya boomerang? yaani kila binadamu anayo end of the road yake utakwepa lakini utanasa tu na ukinasa kwa vile unajidanganya hutaki kufall utakuwa unafight ile hali mpaka homa inakupatahatari tupu, bora mm nisiyejua kupenda...kumbe ukipenda unapata tabu tuuuu, kumbe haina haja.:A S 465:
Pole haya mambo huwa yanawatatiza wengi na ni kawaida, kwa sasa unatakiwa ukae japo bila uhusiano ili ujipe muda wa kumsahau sababu unapoanzisha uhusiano mwingine wakati bado unampenda unazidi kujiumiza wewe na huyo uliye nae, Ondoa picha ziweke mbali hata kwenye boxi hivi, jitahidi usiende mahali ambapo utakuwa unamwona mara kwa mara, Omba Mungu akupatie wa kufanana na wewe kitabia na kila kitu ili umpende kwa dhati hapo utaweza kumsahau

Hizo chemistry na affection ndio zitakufikisha kwenye love, yule hakuwa wa kwako alipitishwa tu na Mungu kwako ili akutane na aliyepangiwa , umeona umeachana nae sababu Mungu tayari kwenye mavitabu yake kakuandikia utaishia kwa nani, labda sasa hivi anacheza kimama mama au kidali pole, mtu haoi mke wa mtu na mtu aolewi na mume wa mtuGaGa, nilishapenda nikaumizwa saaana...baada ya muda donda likapona na nikaweka nadhiri sitopenda tena kwa dhati , hapa i only show chemistry and affection ila true love, never again.