muhosni JF-Expert Member Joined Feb 12, 2011 Posts 1,108 Reaction score 152 May 8, 2011 #81 Gaga said: Uahitaji maombi ya kufunga kabisa kwa siku 30 na kutubu dhambi zako zote Click to expand... Duh, kweli nimepinda. Tunaanza lini hayo maombi nijiandae kabisa
Gaga said: Uahitaji maombi ya kufunga kabisa kwa siku 30 na kutubu dhambi zako zote Click to expand... Duh, kweli nimepinda. Tunaanza lini hayo maombi nijiandae kabisa
muhosni JF-Expert Member Joined Feb 12, 2011 Posts 1,108 Reaction score 152 May 8, 2011 #82 Asha D said: Muhosni anaonekana si mtii... si umeona kakubali mwenyewe kuashiria hakwenda kulala... Bora ungemwaga tu huo mchele... of what he did last summer.. Click to expand... Yaani usionbe kabisa atoe siri hiyo, unaweza kujikuta umo bora tushirikiane kumwomba afiche
Asha D said: Muhosni anaonekana si mtii... si umeona kakubali mwenyewe kuashiria hakwenda kulala... Bora ungemwaga tu huo mchele... of what he did last summer.. Click to expand... Yaani usionbe kabisa atoe siri hiyo, unaweza kujikuta umo bora tushirikiane kumwomba afiche