How to kiss a girl was a lesson once upon the time

How to kiss a girl was a lesson once upon the time

Sky Eclat

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2012
Posts
57,761
Reaction score
216,011
1622871684068.png

Boys were taught how to kiss a girl. Hili somo lirudiwe kufundishwa huenda tukapunguza idadi ya ndoa za jinsia moja.
 
Kweli somo hili lirudiwe
 
View attachment 1808673
Boys were taught how to kiss a girl. Hili somo lirudiwe kufundishwa huenda tukapunguza idadi ya ndoa za jinsia moja.
Saivi mnatakiwa mfundishwe how to handle a man ,Mambo yamekuwa kinyume.mpo wengi pia mihangaiko imekuwa mingi. Nishindwe kuwaza how to be even a quarter of Jeff Benzos nianze kufikiria how to treat a girl my mind has little space to think or isn't multipurpose only one task at hand.
Pia kumbuka mpo wengi Sana.
Saivi hapa nikiwa na billions zangu kadhaa naoa wake kumi kidogo na wanaweka kwenye apartment zangu huko London na mpendane ndo sharti kubwa Sana.
 
Back
Top Bottom