Kuvaa pia nakupendeza ni vitu ambavyo ni tofauti ila ni lazima ujue kwanza physical body structure yako na ni aina gani ya nguo zinaendana na body yako.
Mi nafanya Fashion so kama na some tips na Share ili kusaidia ama kujuzana Na kupeana taarifa How to Dress and Specific area ya kuvaa aina flan za nguo
Ndiomaana nikalenga kwanza Winter season namna unaweza ukavaa kwasabu hata baazi ya maeneo ya joto kuna vpind pia vya barid ko That i mean(WINTER SEASON FASHION)
Sio mbaya lakini ungeweka zaidi hilo koti lingekuwa jeupe na hiko kiatu kingekuwa cheupe pia maybe Air Force nyeupe plain au yenye tik nyekundu iliopita kati.