Mhandisi Mzalendo
JF-Expert Member
- Aug 23, 2010
- 6,682
- 11,461
Habari wana jamvi, takribani mwaka sasa nilikua nina shida ya kupunguza uzito wangu kwa kilo 6 kutoka 87 mpaka 81 na sasa nimefanikiwa baada ya kufuata shauri mbalimbali humu jamvini....
Swali linakuja !!! Je nitawezaje kumaintain uzito huu wa sasa?? Yani 81 bila kuongezeka wala kupungua....mambo ya matunda usiku sitaki tena maana ndio imenipunguza
Urefu wangu ni 181 cm
Uzito ni 81 kg..