How to make backless bra

Hii ya kufanya mwenyewe naona ndo nzuri zaidi na inasaidia ku save, I'll go step by step.

Sijui kwa nini huwa siridhiki na backless or strapless bras za dukani, sijui ni mimi tu au kuna wengine?
Lazima huwa naona kama zina walakini mahala fulani.

Asante kuni save from mama nibebes...lol!
 


mm pia haikai vzr !nikahs kwasabb nna nido !yaan hii naifanya wknd aisee !hii lazima ikae vzr
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…