Nikuambie kitu binti mwenzangu@Purple.. wewe kama binadamu una matatizo A b c d ....UNAPOINGIA KWENYE MAHUSIANO NA matatizo yako yakawa a b c d e f g.... kimbia kama ulikuwa na abcd at least yawe abc au ab au a au yafutike kabisa...ndo maana ya kutafuta partner ili msaidiane sio kushow off?purple likes this, nilifikiri huu mtazamo ninao mimi tu..:gossip:
sidhani kama eneo linamata bwana just chukua mfano huu binti katongozwa na kibosile wa epa ampatie kazi kwenye ofisi yake akampeleka serena hapo wamesex au wamemake love?Mmmh mmh...kila mtu atakucheka eti ukisema kile cha haraka haraka cha porini ni ku'make love'! but kila mtu atakuona ni Mr Loverman ukisema ume'make love' in a five star hotel!
Nikuambie kitu binti mwenzangu@Purple.. wewe kama binadamu una matatizo A b c d ....UNAPOINGIA KWENYE MAHUSIANO NA matatizo yako yakawa a b c d e f g.... kimbia kama ulikuwa na abcd at least yawe abc au ab au a au yafutike kabisa...ndo maana ya kutafuta partner ili msaidiane sio kushow off?
sidhani kama eneo linamata bwana just chukua mfano huu binti katongozwa na kibosile wa epa ampatie kazi kwenye ofisi yake akampeleka serena hapo wamesex au wamemake love?
na usikubali mtu akuharibie maisha yako majuto yake ni makubwa mno my dear..usikubali kabisa..ujue huwa najiuliza kwanini wasichana wengi wanapenda vitu vya kujionyesha kwani ni lazima kuwa na mwanaume? tena unakuwa na mtu asiekuheshimu,wala kukuthamini wala kukujali..why? unaenjoy nini? kisa kuolewa hadi mahari yako unampa wewe...kuwa natural my dear ,,maisha ni hayahaya raha jipe mwenyewe who cares?exactly mamie na ndo maana hua najisemea mwanaume nimtakaye bado hajazaliwa na kama ameshazaliwa basi ameshazeeka..hawa wa siku hizi kuharibiana mipango ya maisha tu!
Mmmh mmh...kila mtu atakucheka eti ukisema kile cha haraka haraka cha porini ni ku'make love'! but kila mtu atakuona ni Mr Loverman ukisema ume'make love' in a five star hotel!
ahaha sijui bwana...tualikane futari jamani
BE careful, vibabu wengine wana mikia ya mamba.
vikiongozwa na Asprin eeh?