How To Make Love

Inawezekana mzee mwenzangu Dark City macho yake yameshakorofisha, hebu mfafanulie hapo kwenye blue bold
Full uchakachuaji, orijino ya Smile ilikuwa hivi
6. The cake is done when banana is soft. If banana does not soften, ?????????????????
, hii hapa chini sijui imetokea wapi:
6. The cake is done when banana is soft. If banana does not soften, repeat steps 3-5 or change mixing bowls.
 
Last edited by a moderator:
Full uchakachuaji, orijino ya Smile ilikuwa hivi , hii hapa chini sijui imetokea wapi:

Ndigu yangu umedandia trani kwa nyuma. Angalia watu wa kwanza kum-quote uone. Afu pia angalia thread yenyewe imekuwa edited na Smile mwenyewe...Uzuri ukiedit wanaandika na muda alio edit.... Stuka MAMMAMIA... Think!!
 
Last edited by a moderator:
Afadhali na wewe umeliona hilo ingawa Smile anataka kujifanya mtoto wa mujini kama yule mzee wa mtutu a.k.a uncle Ditto (RIP)!!!!

Babu DC

maumivu ya KICHWA hunza polepole na hizi ndio Dalili zake polee
 
Naoana tunazidi kuvunjiana heshima wewe Kongosho....Kila unavyojaribu kujitetea ndivyo unavyzidi kulikoroga!!

Ngoja nimstue jamaa yangu wa Ukerewe anitumie radi ili nikupumzishe kabla hujasababisha madhara zaid...!!

Babu DC!!
 
He he he he, babu kwenye wajukuu watukutu hawakisekani.

Ukinitumia radi unanionea, ukiniacha unaniogopa:eek2:

( Ila sijajua unaniogopaje )
Naoana tunazidi kuvunjiana heshima wewe Kongosho....Kila unavyojaribu kujitetea ndivyo unavyzidi kulikoroga!!

Ngoja nimstue jamaa yangu wa Ukerewe anitumie radi ili nikupumzishe kabla hujasababisha madhara zaid...!!

Babu DC!!
 
Ndigu yangu umedandia trani kwa nyuma. Angalia watu wa kwanza kum-quote uone. Afu pia angalia thread yenyewe imekuwa edited na Smile mwenyewe...Uzuri ukiedit wanaandika na muda alio edit.... Stuka MAMMAMIA... Think!!
Samahani sana Mkuu Asprin kwa kudandia treni kwa nyuma. Ilitokana na allergy yangu na mambo ya IT kwani pamoja na kuwa mtoa mada ame edit bandiko lake, bado hiyo edition yake inayoonesha "repeat steps 3-5 or change mixing bowls" haionekani kwenye orijino text.
 
Last edited by a moderator:
Daaaahh! Vijana bana . . . . mnatushtua mioyo hivi . . .
 
Ewaaaaa... ameedit kwenye orijino text sasa akadelete hiyo makitu baada ya babu mwenzangu Dark City na mimi mwenyewe kumshtukia na kumquote. Angalia post yangu ya kwanza nimepost saa ngapi, na yeye ameedit saa ngapi.... Umeona eh? Haya nipigie makofi matatu
 
Last edited by a moderator:
Dha! Smile leo umeniacha kwenye mataa ndg yangu! Nimesoma mara mbili mbili lakini nimeshindwa kupata 'sms' (meseji)
 
He he he he, babu kwenye wajukuu watukutu hawakisekani.

Ukinitumia radi unanionea, ukiniacha unaniogopa:eek2:

( Ila sijajua unaniogopaje )

Kwa hiyo unatakaje?

Shukuru Mungu babu mwenye keshakuwa kibogoyo...enzi zetu dawa ya wajukuu watukutu tulikuwa nayo tena ya kumwaga!!...Ungekoma!!

Babu DC!!
 
Ndigu yangu umedandia trani kwa nyuma. Angalia watu wa kwanza kum-quote uone. Afu pia angalia thread yenyewe imekuwa edited na Smile mwenyewe...Uzuri ukiedit wanaandika na muda alio edit.... Stuka MAMMAMIA... Think!!

Hommie kwani anachobisha apo nini nini? Kila kitu si kipo wazi kwamba Smile kachakachua? lol tatizo alikopi na kupaste bila kuisoma, akakuta inakinzana na ' misimamo' yake lol
 
Last edited by a moderator:
Kwanza nimefahamu hilo, kumbe mliiwahi hii kitu ndio kwanza inatoka jikoni.
Hongereni Babu Asprin na Dark City:clap2::clap2::clap2:
 
Last edited by a moderator:
Mmh, kaazi kwelikweli, hayo mafumbo, mmh, lol, makubwa haya!
 
2. Do not lick mixing bowl after use............................can u lick mixing bowl before use?
 
Of course u can, anytime. The question is do u want to? Kaunga the truth is why should I substitute the real thing with a fake tongue? Tonguing her cunt is the last thing in my mind while I have the real "cunt buster" to do the hard biz for me..............
 
Nimenuna kumbe mimi na sikonge sio mabro wako wa ukweli?, ndio upokei hata sim yangu!
 
Nimenuna kumbe mimi na sikonge sio mabro wako wa ukweli?, ndio upokei hata sim yangu!

Jamani kaka yangu wa ukwelii, umenichunia mpaka nikajisikia vibaya!

Sijaona Simu yako for ages now. Umepotelea wapi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…